Kheri James ameomba radhi kwa mambo/makosa/ mabaya gani aliyoyafanya/aliyoshiriki kuyafanya au aliyoyajua yamefanyika?

Hawa watoto walidekezwa sana wakajenga jeuri kisa watawala ni watu wao wa karibu hawakuweka akiba ya maneno, mambo yamebadilika wakuwakingia kifua hayupo tena muda siyo rafiki tena.
Ritz za masiku? Miaka kadhaa sijakusikia kabisa Mimi Zogwale
 
Kwema mkuu wangu tupo kijijini tunalima mbogamboga
Daah aisee. Yaani ndiyo upotee hivyo Mkuu? Yaani toka 2015 ni kama sijakusikia kabisa. Anyway Mungu ni mwema tunapumua bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…