Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Huyo Rais katukanwa wapi? Na ametukanwa na nani? Nyie Mataga mmeishiwa hoja, mnatafuta chokochoko Chadema. Hapo lengo ni Chadema! Haooooooo tumewashtukia. Maana nashangaa na yule speaker anasema Lissu kamtusi yule mama.. lini Lissu alimtusi mtu (hasa yule mama)? Mbona mama katusiwa huko Twitter.. yule ni Lissu? Hawa Mataga vipi? Lissu anawachachafya sana aisee.
 
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
Na yeye atashikwa pabaya zaidi. Jino kwa jino hadi itambidi arudi kwao Ubeligiji akaendelee na lockdown ya covid 19.
 
Hivi hawa vihiyo wa ccm huwa wanaibuliwa toka wapi? Uchamungu wa wapi? hivi watu wanaabudu katika dini au katika Mungu ? Kuongea kwa ukali sio maana ya kuwa na point.. ni utopolo na ushuzi mtupu... hiyo midomo yenu yafaa iwekewe super glue... miaka 59 na bado mnangangania tu kukaa madarakani..waachieni wengine ili nao tuwapime.. achani kutoa povu bila mpangilio...
 
Usitishe watu wewe!
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?

Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
 
Unajifanya message hujaielewa? Subiri utaielewa tu.
Wewe mpuuzi eti nawe unajiita Dr. Akili...huu udokta wenu huko CCM ni sawa na uhayawani! Kuna tusi zaidi ya kuwatishia raia wasio na hatia kwamba utawapiga wao, mama zao, shangazi zao na dada zao, huu si uhuni tu?

Hebu msikilize huyu mwingine anasema nini kuhusu kuwapelekea watu maendeleo...



Je wanaowakilishwa na wapinzani hawalipi kodi?
Mbona mgombea wenu anawatisha wananchi kwamba hawatajengewa barabara kama watachagua wagombea kutoka upinzani?
Shangazi zao na dada zao uwapige halafu kodi zao ukusanye lakini maendeleo uzuie huku wote ni Watanzania, kweli!​
 
Back
Top Bottom