Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaa hahahaaaa..... kweli kawashika!Na yeye atashikwa pabaya zaidi. Jino kwa jino hadi itambidi arudi kwao Ubeligiji akaendelee na lockdown ya covid 19.
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?Usitishe watu wewe!
Wewe mpuuzi eti nawe unajiita Dr. Akili...huu udokta wenu huko CCM ni sawa na uhayawani! Kuna tusi zaidi ya kuwatishia raia wasio na hatia kwamba utawapiga wao, mama zao, shangazi zao na dada zao, huu si uhuni tu?Unajifanya message hujaielewa? Subiri utaielewa tu.