Kawe Alumni , miaka yote UVCCM inakuwa na vijana werevu, wajibu hoja na wanaosaidia sana chama cha Mapinduzi, kuanzia akina Emmanuel Nchimbi, John Guninita, Nape Nnauye, Hussein Bashe, Masauni Yusuf na kadhalika, lakini sijaona kijana mpumbavu ambaye CCM imepata kuchagua kama huyu Heri James. Ni mpumbavu sana. Hakisaidii chama, zaidi ya kukiangamiza. Tangu amechaguliwa yeye ni kejeli na vitisho kwa wanaopishana naye kimawazo na mitazamo, hana constructive ideas kama hao niliowataja hapo juu. Ni shida sana. I sorry to say that, lakini ndio mtazamo wangu.