Kheri ya Jumapili Wahenga wote, kuna Kasongo hapa tukumbukie

Kheri ya Jumapili Wahenga wote, kuna Kasongo hapa tukumbukie

Naona santuri za Mazembe zenye nembo ya tinga tinga ( jembe Mazembe)
Sauti za akina Kasongo wa Kanema, Longwa mutonkole, Nk
Ukibahatika kuiona video yake ingawa quality siyo bora kama hizi za digital lakini Kasongo na Kanema walikua wachezaji wazuri. Wadada wako club wametupia vitenge ingawa vimeshonwa kimtoko mtoko.
 
Back
Top Bottom