John Walter
Member
- Aug 14, 2017
- 68
- 63
Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee kuipeleka nchi panapostahili.
Happy Birthday John Magufuli.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee kuipeleka nchi panapostahili.
Happy Birthday John Magufuli.