Kheri ya mwaka mpya 2025:Ninawaombea wagonjwa wote wanaohangaika na magonjwa sugu,Mungu awaponye.

Baba Vladmir

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2021
Posts
373
Reaction score
627
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo na kuwapa faraja kuwa Bado wanayo nafasi ya kurejea Tena katika hali zao za awali,basi WASIKATE TAMAA. Ninawaombea kuendelea kupambana kwa kutafuta tiba kila unapoona inafaa kuliko kukata tamaa,yawezekana mwaka huu ukawa ndiyo mwaka wa uponyaji wa afya yako unayoihangaikia kwa muda mrefu Sasa.
Jambo kubwa na mhimu tukumbuke kuwa matokeo ya afya zetu ni kile "tunachokula na kunywa" kila siku,hivyo ni mhimu Sana kujifunza kula na kunywa kwa "ubora" kuliko "hovyohovyo" .
Mungu atusaidie Sana
🙏🙏🙏
 
Kuwaombea hazitoshi chukua hatua kawaone na uwape pesa na Mahitaji mengine.

Maneno matupu hayajengi gorofa
 
Back
Top Bottom