Kheri ya sikukuu ya pasaka in advance

Kheri ya sikukuu ya pasaka in advance

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda

Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele

Punguani Gily mrembo Lenie mchumba wangu dunia yangu Dahan shemeji yangu Analyse mzee wa ofa Mzee wa kupambani mwizi mzoefu alie tokea kwenye ujobless wa kimataifa Intelligent businessman Marcy mama yangu wa mizinga Jack Palladino broo wa jd nitakununulia Kanali G miss bantu sijakusahau Bantu Lady dogo langu mshamba_hachekwi lofa wa masaki zwenge ndaba To yeye Half american kama nimekusahau jiongeze tu hapa weka jina chini
 
Tunapokea kheri za pasaka ila naona unatoa kheri bila mialiko. Bahati mbaya sinywi pombe ila cheusi aka pilau nakula 😃
Ukija uje umeshiba usije kama ulivyokuja xmass supu yote ulikunywa peke yako
 
Mimi huyu 😀😀😀😀


Kwanza katoto ketu hakajambo
Mtoto hajambo now Kapona mwanzo alitutisha kidogo. Tumuombee kheri katoto akue salama😄

akimaliza miezi mitatu tumtafutie ndugu yake😄
 
Back
Top Bottom