Kherson imegeuka kuzimu

Na matengenezo ya Kila siku yaliyokuwa yakifanywa na urusi kwenye Lile daraja unayazungumziaje?

Huna habari kuwa urusi wanatengeneza pontoon bridge Ili kuwasaidi kuvuka Lile daraja
Au tuseme nazo ni propaganda [emoji848]

Mimesema hazina uwezo wa ku-bring down a reinforced concrete infrastructure - zitaishia kuweka mashimo mashimo tu, lakini sio kuvunja kabisa daraja labda kama roketi za HIMARS zaidi ya 200-300 zikilengwa on one spot hapa uwezekano wa kuvunja daraja unaongezeka lakini not otherwise - FYI, HIMARS zina uwezo mkubwa wa kuharibu/lipua oil/fuel depot pamoja na ammunation dumps triggering a secondary explosion, basi.
 
Mnachinjana au mnachinjwa??
 
Nenda field ndio utashuhudia mzik wake wewe hapo umeshiba wali maharage na maji ya kandoro unachukulia poa himas iliyomnyamazisha Russia ,hiv kwa ubongo wako unaweza kumhenyesha Russia?
 
Video please
 
Nenda field ndio utashuhudia mzik wake wewe hapo umeshiba wali maharage na maji ya kandoro unachukulia poa himas iliyomnyamazisha Russia ,hiv kwa ubongo wako unaweza kumhenyesha Russia?
hizo kitu zinasaidia sana hata urusi wanatumia za kwao 9A54 Tornado zimewasaidia huko donbass ingawa ni kweli yale madaraja steel ya vitan haziwez kuharibu but zinawasaidia sn waukraine
 
Mimi ni mkristo mwenzako Tena kindakindaki

Dah kama kweli, basi itakua unaishi kwenye mazingira ya hao wa Kiarabu, maana kila unachoandika humu kinaendana nao walivyo.
 
Vita vya kujitakia tu hivi.
 
Kwa iyo unataka kuniambia KHERSON itakuwa kama ALEPPO(SYRIA)
Uharibifu wa huko utakuwa mkubwa sana maana waasi wa Allepo walikuwa dhaifu mno hivyo waliishia kushambulia mfululizo kutoka angani maana walikuwa hawana hata 'air defense system' tofauti na askari wa Ukraine wanaotoa upinzani mkali.
 
Kenge wa bluu ninyi si mlileta propaganda zenu hapa kuwa UKRAINE alishasimika bendera yake kwenye huo mji wa Kherson?

Hizi taarifa za moto unaopelekwa huko Kherson zimetoka wapi tena?

Hizi ni propaganda tupu toka kwa pro NATO toka matumbwi TZ.
 
Waumini wa dini ya waarabu naona mnapata hasira sana lakini ndio hivyo....hehehehe Huyu Putin kawaangusha.
Hivi kumbe unadhani kuwa wafuasi wa Putin humu wote ni Waislam?? Au unadhani kuwa Waislam wote humu ni wafuasi wa Putin. Hili jambo nimeliona kwa baadhi ya watu wengine humu mfano wako.

Ni dhana potofu hiyo.
 
Kwahiyo Ukraine wanaivamia mimi yao tena hii mbona haikumtokea hata Nyerere kule Uganda
 
Huu mji utakwenda kufanywa magofu kama Mariopol city ulivyofanywa! Kiukweli vita hivi havina faida kwa pande zote,lakini zaidi sana ni hasara kubwa kwa Ukraine.
 
Kenge wa bluu ninyi si mlileta propaganda zenu hapa kuwa UKRAINE alishasimika bendera yake kwenye huo mji wa Kherson?

Hizi taarifa za moto unaopelekwa huko Kherson zimetoka wapi tena?

Hizi ni propaganda tupu toka kwa pro NATO toka matumbwi TZ.
Kichwa boga wewe kherson ni mji mkubwa wenye vijiji vingi Sasa kabla hujaingia center lazima uanzie pembeni,

Kaa kwa kutulia week ijayo ramani inachorwa upya sehemu itakayobaki nayo mrusi ni Crimea tu nayo ni kwa muda.
 
Winter’s coming, and winter’s going to be hard on the battlefield in Ukraine. We know that the size of the Ukrainian army is now roughly three times as big as what it was last winter,” Stoltenberg NATO Secretary general added.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…