Khofu ya kumwagwa.............

Khofu ya kumwagwa.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Moyo wake unamfahamisha ya kuwa hapo ndipo roho yake inapodundia lakini historia ya kijana ambaye anamfuatafuata kwa udi na uvumba ndiyo inamtia khofu.............................

Kijana ana tabia ya kubeba mizigo khalafu huidondosha njiani na huyu binti hayuko tayari kuachwa katukatu hasa akizingatia mwisho wa yote jamaa ataishia baada ya kumm'ega..........................lol

kwenye mazingira ya namna hii hivi penzi bila ya khofu ya kumwagwa lawezekana?
 
Hakunaga penzi pasipo wasiwasi

anapokuwa na wasiwasi kuji-commit....si ndiyo anapoteza penzi lake la milele...............lol
 
Wanasema ukitaka kufanikiwa lazima u take risk...mwambie a take risk tu kama yupo tayari kupokea matokeo!!
 
Sidhani kama ukipenda ile ya dhat (true love) unatafuta historia au unajali chochote! Tunapima pale tunapotaka kupenda, so tunaevaluate pro n cons. Yaani akili yaongoza moyo; na si moyo kuongoza!
 
Yote yapo, aangalie likelihood ya hiyo issue kutokea, otherwise achukulie everything for funny, asipomwagwa orit, na akibebwa basi ajiandae kuwa na wasaidizi kibao.
 
Yote yapo, aangalie likelihood ya hiyo issue kutokea, otherwise achukulie everything for funny, asipomwagwa orit, na akibebwa basi ajiandae kuwa na wasaidizi kibao.

yaelekea mkate ni mkubwa...........wa kuwatosha wote .......
 
Sidhani kama ukipenda ile ya dhat (true love) unatafuta historia au unajali chochote! Tunapima pale tunapotaka kupenda, so tunaevaluate pro n cons. Yaani akili yaongoza moyo; na si moyo kuongoza!

wenzio watakushawishi uone ya kuwa utamwagwa kama fulani na fulani ingawaje ni kweli kila mmoja ana nyota yake........
 
solution ni kukataa kumegwa mpaka kieleweke kwanza

hata mimi ninaafiki na huu mtazamo..........waache visingizio lollllllllllllll
 
Back
Top Bottom