The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,070 Reaction score 13,511 Oct 12, 2020 #2 Politishiani ana mtumbo kimsanii kimbao mbao.
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,625 Oct 12, 2020 #3 Aione Marlow na Nakaya kwa masikitiko zaidi.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 12, 2020 #4 Sky Eclat said: View attachment 1597487 Click to expand... Pana mgombea katika wote kumi na ushee kutamka neno 'haki' kwake haiwezekani. Kwa mtu wa kawaida ni ngumu sana kuelewa. Inzi ni inzi tu.
Sky Eclat said: View attachment 1597487 Click to expand... Pana mgombea katika wote kumi na ushee kutamka neno 'haki' kwake haiwezekani. Kwa mtu wa kawaida ni ngumu sana kuelewa. Inzi ni inzi tu.
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,570 Reaction score 5,508 Oct 12, 2020 #5 WASANII NAO NI WANANCHI WANA HAKI ZAO..AU HADI WAFANYE WAMAREKANI NDO IKO SAWA.. https://www.billboard.com/articles/...rsing-2020-democratic-presidential-candidates
WASANII NAO NI WANANCHI WANA HAKI ZAO..AU HADI WAFANYE WAMAREKANI NDO IKO SAWA.. https://www.billboard.com/articles/...rsing-2020-democratic-presidential-candidates