Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
1174605_545017355614364_2650541_n.jpg

.
Wema sepetu anapendeza sana bila kufanya make up na kuvaa mawigi!
 
Dah utadhani wale wamama wa Nigeria wa bush apo ndo wapo location, take one.... action yani ukimuwe ka huyu miss tz 2006 na Kylin miss 2000 bado mama wawili anaonekana yanki.
 
Aisee bado nabishana na mtu hapa.. Anasema ni picha duka 😉

Ha ha ha haaa 😀 😀

Cc : heaven on desert ...Njoo huku eti wanasema huyu ni shem wako..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom