Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

Mshasahau mlimpa namba ngapi miss vodacom mwaka ule?
 
attachment.php

Hapa ndo katokelezea bwana embu mcheki hiyo kichwa mdomo kidevu na koromeo na hiyo jicho baba Hahahahahaaaah Yeleuwiiiiiiiiiiiiiiiii
 
diamond ana roho ngumu kweli huyu ndie anaelala nae duu

Mmh roho ngumu kweli, maana sisi tunamuona wakat kashajipimpu ila ndomo kila sehem anamjua, muachen tu ndomo atoke nje, kavumilia kashindwa, sura kama stafeli
 
Mmh roho ngumu kweli, maana sisi tunamuona wakat kashajipimpu ila ndomo kila sehem anamjua, muachen tu ndomo atoke nje, kavumilia kashindwa, sura kama stafeli

hahaaaaaa nimecheka sana...mwenzake jokate miaka nenda rudi anajitahidi kumaintain mwili wake

hata ukiambiwa huyu aliwahi kuwa Miss Tz utashangaa....
 
Mmh roho ngumu kweli, maana sisi tunamuona wakat kashajipimpu ila ndomo kila sehem anamjua, muachen tu ndomo atoke nje, kavumilia kashindwa, sura kama stafeli

Binamu taratibuuuuu
 
Huyu ndio anaewazuzua watu na hela zao...Diamond sijui kapendea nini..
Halafu huyu umri umeenda sura inaonyesha ..
Wema ni msichana wa kawaida sana sema promo na maskendo ndio zinamsaidia.
 
Back
Top Bottom