#COVID19 Ki wapi kile kirusi hatari cha Delta

Cheka sana, simulia sana lakini omba yasikukute.
 
Tunza tu mapmb yako kama familia yako haijaguswa
 
Mleta mada ni mpumbavu sana, sorry for that, unadhani wakifa watu 1,000 lazima na ndugu/jirani yako awemo ndiyo ujue watu wamekufa?
 
Miradi ya watu iyo mzee, wenye mchongo wameweka pesa ndefu sana kwenye hii project so lazima iende tu.

Baada ya mama kuridhia chanjo wimbi delta sijui limepotelea wapi, ila tungejifanya kichwa ngumu tungepigwa mawimbi ya kila rangi hahahaha
Dadavua mkuu...
 
Jaribu hili zoezi...

Ingiza kichwa chako ndani ya ndoo ya maji, halafu jaribu kuhesabu, bila pumzi unaweza kaa muda gani huko...

Then Covid-19 is more than that...
 
Corona inaathiri zaidi kama kinga yako ni dhaifu, kwahiyo ukiwa na magonjwa mengine ni rahisi sana Covid kupita na wewe.
Sawa ila hiyo haina maana kuwa tukachukulia kwamba mtu mwenyewe hayo magonjwa mengine akifariki basi ni covid tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…