Kiafya inashauriwaje?

Kiafya inashauriwaje?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz
 
Sori nilikosea njia....
 
Wanawake wote waliojaa punyeto ya nini?
 
We, mwache mwenzio ajikinge na maambukizi mapya!

sweetlady maambukizo gani mapya?
Si unajua madhara yake baadae,au ww utarika umpate mzee ambaye kitu kimoja ndio basi?
 
Asanteni wana., hop nshapata jibu...!!!!
 
Kwanza kwanini upige punyeto,si mchezo mzuri na ili kukuthibia mimi mwenyewe nilipiga sana punyeto wakati wa balehe yangu basi balaa mtindo mmoja kwanza ukiwa na demu kujiamini kunapungua na hata ukifanikiwa kutiana nae basi mwisho bao moja,ila hayo yote huwa yanawakuta wale waliopiga nyeto kwa mda mrefu.
 
unashauriwa kupiga muda wowote unapojisikia kufanya hivo mkubwa
 
Code:
Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz

Kwa nini ujitese na wakukuhudumia wapo wamejaa tele
............acha uchoyo na kujitesa mwenyewe........nothing can replace what the Almighty God has prepared for you to love, enjoy and at times celebrate your conquest...........................stop that nonsense of masturbation..............................it belongs to serial killers and stalkers....................
 
Kwanza kwanini upige punyeto,si mchezo mzuri na ili kukuthibia mimi mwenyewe nilipiga sana punyeto wakati wa balehe yangu basi balaa mtindo mmoja kwanza ukiwa na demu kujiamini kunapungua na hata ukifanikiwa kutiana nae basi mwisho bao moja,ila hayo yote huwa yanawakuta wale waliopiga nyeto kwa mda mrefu.

huyo atakuwa na matatizo mengine,punyeto haipunguzi hamu ya kufanya mapenzi.
 
Wakuu hivi inashauriwa kiafya mara ngapi kwa wiki kupiga punyeto?
Maana kulikuwa kuna kamjadala maeneo flani, so nikaona nije niibe nondo hapa probably naweza ambulia chochote.
NOTE: seriousness plz

hakuna ushauri wa kiafya juu ya kupiga punyeto,punyeto ni dhambi kama ilivyo uzinzi.lkn kiafya ni salama tu
 
Back
Top Bottom