Kiafya na kistaarabu, inastahili kukutana na mwenza wako mara ngapi?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Wazoefu naomba msaada wenu,wanandoa wanatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki bila athari za kiafya wala kuchoshana?
 
kila siku ila shoo isiwe ndefu.
au mara 3 kwa wiki kwa shoo ndefu kidogo.
kama ligi ni bundasliga basi mara 1 au mbili wiki.

but usijizuie sana huku una hamu na mwenzio na yeye akiwa hana kipingamizi
 
Kama bado hamjapata mtoto basi:-
1. Mkiwa jikoni pigeni show
2. Chakula kikiwa mezani pigeni show
3. Mkienda bafuni pigeni show
Kama nyumba unayoishi ina fensi na mko peke yenu na bila mtoto, basi hata nje ya nyumba pigeni show
Kwa ufupi hako ka mchezo hakanaga ratiba. Huwa kanaathiriwa tu na ratiba za wachezaji na idadi ya wanafamilia unao ishi nao. Kama familia ni kubwa kiasi kwamba wengine wanalala sebuleni vichwa vyao vikielekea chumba chako ni ngumu kukacheza. Maana huwa kanaambatana na kelele za aina yake.
 
Sio mtu nzuri wewe.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…