Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni mpenzi wako wewe lakini ratiba unataka tupange sie?
Kwa ufupi tu ni mara 3 tu kwa mwaka,
Sio mtu nzuri wewe.Kama bado hamjapata mtoto basi:-
1. Mkiwa jikoni pigeni show
2. Chakula kikiwa mezani pigeni show
3. Mkienda bafuni pigeni show
Kama nyumba unayoishi ina fensi na mko peke yenu na bila mtoto, basi hata nje ya nyumba pigeni show
Kwa ufupi hako ka mchezo hakanaga ratiba. Huwa kanaathiriwa tu na ratiba za wachezaji na idadi ya wanafamilia unao ishi nao. Kama familia ni kubwa kiasi kwamba wengine wanalala sebuleni vichwa vyao vikielekea chumba chako ni ngumu kukacheza. Maana huwa kanaambatana na kelele za aina yake.
Pale mnapokua tayari kupata mtotoWazoefu naomba msaada wenu,wanandoa wanatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki bila athari za kiafya wala kuchoshana?
Kama bado hamjapata mtoto basi:-