Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Maana yake nini? Naomba muongozo tafadhali..Power saving mode
Sijaelewa.. power saving mode imefanyaje?Case closed.
Ngoja nikaulize!!@Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu ..
Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini? View attachment 2386400
Power saving mode, simu inapunguza baadhi ya activities ili kutunza chaji, inaweza punguza mwanga, ringtone, na background data. Kama hivyo yani.Sijaelewa.. power saving mode imefanyaje?
SawaNgoja nikaulize!!@
Tusaidiane hapaNjoo inbox
OohData saver
Inategemea simu yako, ya kwangu ni power saver mode!Sawa
Anhaa.. nashkuru sana.. nlijua kuna muhuni keshafanya yake😂😂😂Power saving mode, simu inapunguza baadhi ya activities ili kutunza chaji, inaweza punguza mwanga, ringtone, na background data. Kama hivyo yani.
OkayInategemea simu yako, ya kwangu ni power saver mode!
Watu mawazo yenu yako mbali sana.Anhaa.. nashkuru sana.. nlijua kuna muhuni keshafanya yake😂😂😂
Hivyo vimshale ndio vilinichanganya zaidi mkuu😂Watu mawazo yenu yako mbali sana.
kuna jambo kuleTusaidiane hapa
Hadi hili nalo mkutane PM?Njoo inbox
Naunga mkono.Data saver