Kialama hiki kina maana gani?

Kialama hiki kina maana gani?

Tatizo lake inazuia background data kwahiyo unaweza usione notification za whatsapp kwa wakati. Ukitaka kuzima bonyeza hapa.
Screenshot_20221014-103620_Chrome.jpg
 
Hiyo ni data saver (tofauti na power saver). Inaonesha umeruhusu udhibiti wa matumizi ya "data" au "MB" kwa lugha rahisi.
Nyongeza: Tujifunze kutumia search engines na internet kwa ujumla kwa changamoto ndogo ndogo kama hizi mf: ungeandika tu triangle with arrows on a phone ungepata jibu mkononi mwako.
 
Back
Top Bottom