kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

Hebu fafanua,unaongelea Tanzania au nchi ya kufikirika,because this can't be.Hizo ni ndoto za alinacha.Fanya kazi upate pesa yako,vinginevyo subiri kodi ya meza.
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika
 
Na kwann utegemee kipato cha mumeo??kwan wewe huwezi kufanya kazi kwa mikono yako ukajiingizia kipato??yan wanawake bado wanamawazo ya kutegemea kipato cha mume??kweli ndo mana wanawake wengi wanateseka na kunyanyasika sana nowdays!amken wanawake!waume zetu ni wenzi wetu ambao tunashea life together lkn si ndo unamfanya kama Ndo ATM.tuwaheshimu waume zetu na kufurahia sapoti ya kipato chao lkn si ndo kulazimisha eti asilimia kadhaaa ya mshahara wake uje kwangu no!afanye hivyo kwa kupenda kwake.tuwe na ubinadam sometimes!ni hela zake yeye ndo apange zitumike vipi

wanawake wengine ni waelewa,wasomi ila kwenye suala la utegemezi wamepotoka

ubarikiwe kwa kuwakumbusha wanachotakiwa kufanya
 
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika

Mbona hiyo sio shida kwa WaTZ wengi! Pesa anazopata nje ya mshahara ndio nyingi zaidi. Unafikiri yale majumba yanayojengwa yametokana na mishahara? Magari yanayoendeshwa je? Sio mishahara ndugu yangu.

Hii ndiyo sababu waTZ hawalalamiki mishahara midogo.
 
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika

SI KWELI KAMA WANAUME KWAMBA WANAUME WAMEUMBWA MATESO KUHANGAIKA NA KAMA NDIVYO BASI SOME OF US ARE EXCEPTIONAL, YAANI NI RAHA TUPU UTADHANI TUKO MBINGUNI VILE. TAKE CARE: PROV.23:7 For as he thinketh in his heart, so is he:
 
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika

Huhuhuhuhu! Njoo kwangu tugawane 115,000/= (kima cha chini)
 
Wanaume wameumbwa mateso bwana....yaani sitaki hata kuelezea siku nitakayoshika hatamu ya mshahara wake wote. Nitakuwa nampa stipend kama student hivi, ili nimpangie budget zaidi za kimaisha.
 
that's true wanawake lazima tujitume c kusubiri kukinga mkono
 
utaoa tu
siku yako inakuja ya kupiga magoti ukiomba hela ya bia

hahaha, dah? pesa yangu mwenyewe naipigia magot ndo nikapate maji ya mende? hell no!
 
Na kwann utegemee kipato cha mumeo??kwan wewe huwezi kufanya kazi kwa mikono yako ukajiingizia kipato??yan wanawake bado wanamawazo ya kutegemea kipato cha mume??kweli ndo mana wanawake wengi wanateseka na kunyanyasika sana nowdays!amken wanawake!waume zetu ni wenzi wetu ambao tunashea life together lkn si ndo unamfanya kama Ndo ATM.tuwaheshimu waume zetu na kufurahia sapoti ya kipato chao lkn si ndo kulazimisha eti asilimia kadhaaa ya mshahara wake uje kwangu no!afanye hivyo kwa kupenda kwake.tuwe na ubinadam sometimes!ni hela zake yeye ndo apange zitumike vipi

inawezekana hategemei mshahara wa mumewe, but its a control mesure tu
 
hii sijui kama inasaidia sana, maana nyumba ndogo mara nying zinapewa non-salary income, ambayo mara nyingi inakuwa kubwa kuliko mshahara
 
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika

Mweee. Kwa staili hii haolewi mtu. Au mtu akioa muhimu kutafuta a part time job ya kuingiza mshahara kwenye account yake
 
Hahahahah.................... Smile usijefanya watu wakataliki wake bure.
Na mshahara wa mke anayefanya kazi wawekwa wapi mamii??
 
Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu

hii sahihi yako Smile mbona inatuaibisha wengi kwenye jamvi hili?
 
Wanaume wameumbwa mateso bwana....yaani sitaki hata kuelezea siku nitakayoshika hatamu ya mshahara wake wote. Nitakuwa nampa stipend kama student hivi, ili nimpangie budget zaidi za kimaisha.

Jamani madamex yaani student stipend kweli............hujui ya kuwa sasa umemkabidhi kwa ma-sugarmummies wamsulubu mtu wako lol......
 
Niliisikia hii taarifa BBC swahili kutoka malasia

naskia wanaume wa huku wanapenda kulelewa zao wanapeleka nyumba ndogo
mbona tukifanikiwa kuitumia tutapata maendeleo?
 
Back
Top Bottom