chavka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 223 Reaction score 46 Mar 4, 2012 #81 hii haiwezekani bana mshahara wangu kuingia kwa wife. Hofu kubwa baada ya miaka mitano kutakuwa na ongezeko la wanawake kuomba talaka kwa nguvu
hii haiwezekani bana mshahara wangu kuingia kwa wife. Hofu kubwa baada ya miaka mitano kutakuwa na ongezeko la wanawake kuomba talaka kwa nguvu
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Mar 4, 2012 #82 we siku hizi unaugua malaria au ndo mmoja wa wagonjwa walotoroka milembe madam?