Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Watu wa Tanga hasa Muslims wana huu upuuzi.
Unakuta kibinti kina 18y kimepata mwanaume wa kukioa eti kinasema shida ni kiapo kilichowahi kula na jamaa miaka 2 nyuma na wakati huu jamaa yuko Kariakoo na hawana mawasiliano.
 
Ulifanya mistake sana kiapo au magano yanayohusisha damu ni mabaya sana Nenda Katoe sadaka sehemu ya Imani yako ukimuomba Mungu kuvunja Yale maagano yako na usije ukarudia tena kufanya kitu kama hicho ata kwa bahati mbaya Damu Sio kitu cha kukiletea utani kabisa tena damu yako mwenyewe pale ni kama uliuza roho yako kwa mapepo ya uchizi na ukifaanya mchezo unakua chizi kweli pigana uvunje hiyo kitu
 
Unanitisha aisee
 
Laana hutamkwa na mbaraka hutamkww, maagano yoyote ya dam yana nguvu ya nafsi. Hivo mtafute mwanaume wako umkumbushe maagano mliyofanya na umwambie hauko tayari kuvunja mamagano, endapo atakukataa basi wewe utakuwa salama
 
Hivi haya mambo bado yapo
 
Unanitisha aisee
Sikutushi nakwambia ukweli nimetokea kwenye mazingira ya mambo ya asili sana japo sipendelei ayo mavitu kama mtu anaweza kukuombea mabaya kupitia majina yako tu na ayo mabaya yakakupata vizuri itakua damu Yani apo mlikua mnajiroga bila kujua kama mnajiroga
Kuna mtu alikuliza iyo damu mlipeleka wapi badaa ya kula hicho kiapo hukumjibu alikuliza swali la Msingi sana ushajiuliza kwanini mtu akienda kwa mganga kutibiwa ili apate ulizi huwa anachanjwa afu dawa anapakwa kweny chale zile zenye damu.jibu jepesi Damu ndio nafasi yenyewe ukiweza kulinda Damu ujue umemlinda mtu Damu ni kitu cha muhimu sana kwenye miwili wa Binadamu ki Biology na kiroho.
 
Huyo mwanaume ni mtu wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…