Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #181
Sawamweka mada anawazuzua tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawamweka mada anawazuzua tu!
AsanteUsipuuze mtafute mvunje thats is serious trouble
ukishindwa nenda kwa mtumishi wa Mungu yoyote atakusaidia
Njoo huku kisongo kwa nabii mkuu kila kitu kitakuwa sawa, utaolewa na utazaa.Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo .
Nmekuelewa asanteNjoo huku kisongo kwa nabii mkuu kila kitu kitakuwa sawa, utaolewa na utazaa.
Sawa mkuuHakuna kiapo kwenye dhambi (uziznzi)
Pia kiapo hakipaswi kuwa cha kuvunja Sheria!
Watu wa Tanga hasa Muslims wana huu upuuzi.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Unanitisha aiseeUlifanya mistake sana kiapo au magano yanayohusisha damu ni mabaya sana Nenda Katoe sadaka sehemu ya Imani yako ukimuomba Mungu kuvunja Yale maagano yako na usije ukarudia tena kufanya kitu kama hicho ata kwa bahati mbaya Damu Sio kitu cha kukiletea utani kabisa tena damu yako mwenyewe pale ni kama uliuza roho yako kwa mapepo ya uchizi na ukifaanya mchezo unakua chizi kweli pigana uvunje hiyo kitu
NooHembu njoo tujaribu tuone kama ni kweli unayoyasema
Hivi haya mambo bado yapoMiezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Sikutushi nakwambia ukweli nimetokea kwenye mazingira ya mambo ya asili sana japo sipendelei ayo mavitu kama mtu anaweza kukuombea mabaya kupitia majina yako tu na ayo mabaya yakakupata vizuri itakua damu Yani apo mlikua mnajiroga bila kujua kama mnajirogaUnanitisha aisee
Huyo mwanaume ni mtu wa wapi?Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Huyu ni WA huu mwakaHuyu ndio yule aliyekuganda au kuna mwingine