Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Utakuwa unaongoza ww kwa ukichaaa
There is small line between genius and stupid ...hivyo ni ngumu wewe tutambua kuwa leo unazungumza na genius mkubwa sana ....inatakiwa ukamshukuru mungu wako kwa kukujalia kuongea na genius
 
Acha uoga wewe fanya unitafute tukizichape ili ujue kwamba hicho kiapo chenu kilikua ni kanyaaboya
 
There is small line between genius and stupid ...hivyo ni ngumu wewe tutambua kuwa leo unazungumza na genius mkubwa sana ....inatakiwa ukamshukuru mungu wako kwa kukujalia kuongea na genius
Genius anajulikna from how he thinks...and put a thought inform of a text🤌
 
Aisee ....uliona kwa mtu pengine au
Naishi mtaa mmoja na kijana ambaye mpaka muda huu amekuwa declared as mgonjwa wa akili mwaka wa 15 sasa. Anaokota takataka na kuzurura akizungumza peke yake

Chanzo ni kiapo cha baina yake na mwwnamke mmoja miaka hiyo. Walikuwa waoane na ikatokea jamaa akawa anapita na wake za watu basi karma ikawa bitch kwake kakosa kila kitu.....

Story yake inaliza na kuumiza lakini aliyataka
 
Kumbe nimeyatimba
 
You don't sound like a genius 😅😅

Genius anajulikna from how he thinks...and put a thought inform of a text🤌
CALL ME A GENIUS OF ALL THE TIME .. hapa JF mtu yoyote mwenye kumiliki asilimia 4% ya akili yangu huyo ni mtu mwenye akili nyingi sana ...wewe ni kichaa tayari and crazy never became crazy again
 
Ngoja nikupe siri moja. Unajua sheria haitambui unajua sheria au hujui sheria ya yenyewe kukutia hatiani.

Damu ni uhani, kitu chochote chenye damu kina uhai ndani yake.

Muhimu ni kujiandaa na matokeo maana chanzo ulikwisha tengeneza tayari
 
Mama yangu mkubwa alikuwa kila akizaa mtoto basi hujifungua wa kike, basi ikamfanya azae zaidi ya watoto saba, basi alisema hivi "" MWAKA NITAKAPOZAA MTOTO WA KIUME, MIMI.... NITAKWENDA KATIKATI YA BARABARA NITATOA ULIMI WANGU NA KUKAMBA MCHANGA""

Mwenyezi Mungu akaleta mtoto wa kiume, sasa yule mtoto akawa anaumwa sana, kila anapokwenda tiba ngumu, ndio akaenda kuombewa DUA ndipo alipoulizwa hujawahi kuweka NADHILI??? ndio alipokumbuka na kufanya kile mtoto ikawa matatizo kuishia pake
 
CALL ME A GENIUS OF ALL THE TIME .. hapa JF mtu yoyote mwenye kumiliki asilimia 4% ya akili yangu huyo ni mtu mwenye akili nyingi sana ...wewe ni kichaa tayari and crazy never became crazy again
Acha kunichekesha 😅
 
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
SPIRITUAL WORLD control fresh world
 
Mama yangu mkubwa alikuwa kila akizaa mtoto basi hujifungua wa kike, basi ikamfanya azae zaidi ya watoto saba, basi alisema hivi "" MWAKA NITAKAPOZAA MTOTO WA KIUME, MIMI.... NITAKWENDA KATIKATI YA BARABARA NITATOA ULIMI WANGU NA KUKAMBA MCHANGA""

Mwenyezi Mungu akaleta mtoto wa kiume, sasa yule mtoto akawa anaumwa sana, kila anapokwenda tiba ngumu, ndio akaenda kuombewa DUA ndipo alipoulizwa hujawahi kuweka NADHILI??? ndio alipokumbuka na kufanya kile mtoto ikawa matatizo kuishia pake
Nmekuelewa Asante🙏
 
Back
Top Bottom