Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
mchungaji anaongea hiki na jamaa anaongea kile tofauti kabisa sasa sijui ni ushamba,ujinga au welevu mwingi au kwa makanisa ya wenzetu hiyo ni kawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiapo na ubatizo huwa ni vielelezo tu mbele ya macho ya watu na sio kwa Mungu![emoji16][emoji16][emoji16]Siku zote Mungu husimamia maneno yako,wakati wa dhiki na tabu hawatakuwa nao.
sasa jiulize watakuwa na wakati gani,aither wakati uwepo wao wasiwe pamoja,au wawepo wao wakato usiwepo kitu ambacho hakipo.
Pole Sana nduguKiapo na ubatizo huwa ni vielelezo tu mbele ya macho ya watu na sio kwa Mungu!
La tatu CHivi huyu jamaa amesoma hadi darasa la ngapi?
Mc Pilipili ji mweupe kabisa! Hajui neno ndio sababu ya yote yale. Lkn pia angefungia kwenye makanisa yenye heshima zake kama Catholic na KKKT sidhani kama angeleta ule ujuha wake.[emoji16][emoji16][emoji16]Siku zote Mungu husimamia maneno yako,wakati wa dhiki na tabu hawatakuwa nao.
sasa jiulize watakuwa na wakati gani,aither wakati uwepo wao wasiwe pamoja,au wawepo wao wakato usiwepo kitu ambacho hakipo.
Yesu pia aliwaambia wanafunzi wake duniani kuna dhiki, na dhiki yenyewe ni pamoja na changamoto za ndani ya ndoa. Mc Pilipili hajui neno, makanisa yao wamezoea kuhubiriwa njoo upokee garii, njoo upokee baraka uende ulaya!Biblia yenyewe inatambua maisha yetu ni kama maua, tutachanua lakini itafika Siku tutasinyaa na kudondoka kabisa.
Biblia yenyewe inatambua miaka yetu ya kuishi ni 70 zaidi ya hapo ni taabu na mateso.
Sasa yeye anamaanisha kwamba ataishi na mke wake wakati "Wamechanua tuu" na jua likiwa Kali uwa likianza kusinyaa lazima waachane kila mtu akapambane na hali yake.( Japo yeye aligeuza akitaka kumaanisha tabu , magonjwa umasikini hazitajitokeza).
Leo akipata ajali mke wake ana haki ya kumuacha kwa sababu kiapo chao cha ndoa ni kuwa pamoja wakati wa raha tuu na siyo shida dhiki na magonjwa.
Nikipata mtu wa kula kiapo kama hicho juu yangu, akifilisika tuu hanioni, akianza blah blah namrudisha siku ya ndoa namwambia ulisema tutakuwa pamoja kwenye raha tuu na siyo umasikini dhiki na magonjwa. Siwezi kwenda kinyume na kiapo.
Askofu alikuja kuongea kwamba watu kama hawawezi kufuata kiapo cha kanisani basi wakafungie ndoa sehemu nyingine.Yesu pia aliwaambia wanafunzi wake duniani kuna dhiki, na dhiki yenyewe ni pamoja na changamoto za ndani ya ndoa. Mc Pilipili hajui neno, makanisa yao wamezoea kuhubiriwa njoo upokee garii, njoo upokee baraka uende ulaya!
Lakini kufundishwa neno la Mungu liwe Msaada katika maisha yao kama wafanyavyo Wacatholic na KKKT hakuna.
Na uhakika yule mchungaji aliyefungasha ile ndoa angekuwa wa KKKT au padri wa Kikatiliki angemchapa Kofi.