Kiapo cha utii Kwa Imam Hussain (AS) - Sheikh Hemed Jalala

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya kiislam ya Shia nchini, mpendwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge akiongoza watanzania kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali (AS).

Aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Msikilize hapo Chini kwa Makini hakika utabadilika kiimani.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo imamu atatusaidia nini watanzania dhidi ya umasikini na uongozi mmbovu wa ccm
Mkuu anasaidia Sana kwasababu alipigana na kuuwawa dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu kwenye jamii ambayo haya mambo yanasababisha umaskini.

Si umeona sasa? Kwa iyo usiwe mgumu kula kiapo cha utii faster.
 
Jagina mtu wangu wa nguvu njoo huku haraka ule kiapo cha utii Kwa Imam wetu kipenzi Hussain ibn Ali AS.
 
Atadai aongezewe chumvi wakati anakula kiapo.
Hahaha umemfanya nicheke Kwa Sauti Sana. Hakika uislamu wa Shia unapendeza sana unaleta furaha upendo na umoja katika mustakabal thabit wa Iman.

Chini hapo mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akivuka mto Euphrates kwenda kuupigania uislamu.

 
Bwana mdogo una vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…