nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 2,191
- 1,353
Nenda kaapeUnakubali kama biblia ilivyoandika yesu ametoka kwenye kizazi cha zinaa ??

Umekubali?Nenda kaape
Hii inatafakarisha sana. Malaika anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Malaika alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua.
Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui kusoma" malaika akaona anadanganywa kuwa Mtume atakuwa muongo. Akambana zaidi akimtaka asome. Mara tatu zote anambana mpaka roho inataka kutoka. Akaridhika kuwa ni kweli jamaa hajui kusoma.
Mtume akaondoka ana hofu anatetemeka kukutana na Jini pangoni limemkaba. Akaenda kwa Bi Khadija ambaye aliposimuliwa akaona fursa. Akampeleka kwa Mtaalamu wa Maandiko ya Injili( Injili ipi hiyo?)
Huyu akamwambia huyo atakuwa Jibril. 🤣 Huyu Mtaalamu amejuaje huyo ndo Jibril? Ni wapi Jibril wa Wayahudi alikaba watu kabali kuwalazimisha jambo? Mtume akalibeba. Huyo mtaalamu ni ndugu yake Khadija. Connect the dots.
(Kutoka Sahih al-Bukhari – Kitabu cha 1, Hadithi ya 3)
Muhamad alikuwa akienda peke yake katika pango la Hira kwa siku kadhaa na usiku ili kujitafakari. Huko alikuwa akibeba chakula chake na kurudi kwa Bibi Khadija kuchukua tena.
Kisha alimjia Jini/Kiumbe (Malaika???) na kikamwambia:
"Soma!"
Mtume akasema:
"Sijui kusoma."
Kiumbe jicho kikamkaba kwa nguvu mpaka akahisi kama anakata roho, kisha kikamwachia na tena kumwambia:
"Soma!"
Muhamad akajibu tena:
"Sijui kusoma."
Na hali hiyo ikajirudia mara tatu. Kisha kiumbe kikasema:
"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba. Amemuumba mwanadamu kwa tone la damu. Soma! Na Mola wako ni Mkarimu mno..."
Bado pamoja na kuamriwa kusoma kwa jina la mola wake Muhamad ambacho kilisema ni Mkarimu. Hakuweza pewa uwezo wa kusoma
(Surat Al-‘Alaq: 1-3)
Baada ya hayo, Bi Khadija alimpeleka kwa binamu yake aitwaye Waraqa bin Nawfal, ambaye alikuwa mjuzi wa maandiko ya kale (Injili), naye akamweleza Muhammad kuwa kile alichokiona ni Malaika Jibril aliyemjia kama alivyomjia Musa (a.s.). Nawaqal alikuwepo wakati wa Musa? Alijuaje na Musa ameelezea wapi alikabwa?
Chanzo cha simulizi:
Simulizi hii inapatikana katika:
Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Mwanzo wa Wahyi (Kitab Bad’ul-Wahy)
Sahih Muslim
Vitabu vya sirah (wasifu wa Mtume) kama vile Sirat Ibn Hisham.
Soma hii thread kuanzia post ya # 162 nimejibu uendelee kila penye jina langu, jagina , utaona majibu safi kabisaa ni ndefu lakini kama unatafuta ukweli utapata faida sana
Upotoshaji mwingine wa Mathayo, safari hii kuhusu nyakati za mwisho za kusulubiwa
Pole sana nenda kaape Kwa Imam hussein
Hii inatafakarisha sana. Malaika anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Malaika alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua.
Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui kusoma" malaika akaona anadanganywa kuwa Mtume atakuwa muongo. Akambana zaidi akimtaka asome. Mara tatu zote anambana mpaka roho inataka kutoka. Akaridhika kuwa ni kweli jamaa hajui kusoma.
Mtume akaondoka ana hofu anatetemeka kukutana na Jini pangoni limemkaba. Akaenda kwa Bi Khadija ambaye aliposimuliwa akaona fursa. Akampeleka kwa Mtaalamu wa Maandiko ya Injili( Injili ipi hiyo?)
Huyu akamwambia huyo atakuwa Jibril. 🤣 Huyu Mtaalamu amejuaje huyo ndo Jibril? Ni wapi Jibril wa Wayahudi alikaba watu kabali kuwalazimisha jambo? Mtume akalibeba. Huyo mtaalamu ni ndugu yake Khadija. Connect the dots.
(Kutoka Sahih al-Bukhari – Kitabu cha 1, Hadithi ya 3)
Muhamad alikuwa akienda peke yake katika pango la Hira kwa siku kadhaa na usiku ili kujitafakari. Huko alikuwa akibeba chakula chake na kurudi kwa Bibi Khadija kuchukua tena.
Kisha alimjia Jini/Kiumbe (Malaika???) na kikamwambia:
"Soma!"
Mtume akasema:
"Sijui kusoma."
Kiumbe jicho kikamkaba kwa nguvu mpaka akahisi kama anakata roho, kisha kikamwachia na tena kumwambia:
"Soma!"
Muhamad akajibu tena:
"Sijui kusoma."
Na hali hiyo ikajirudia mara tatu. Kisha kiumbe kikasema:
"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba. Amemuumba mwanadamu kwa tone la damu. Soma! Na Mola wako ni Mkarimu mno..."
Bado pamoja na kuamriwa kusoma kwa jina la mola wake Muhamad ambacho kilisema ni Mkarimu. Hakuweza pewa uwezo wa kusoma
(Surat Al-‘Alaq: 1-3)
Baada ya hayo, Bi Khadija alimpeleka kwa binamu yake aitwaye Waraqa bin Nawfal, ambaye alikuwa mjuzi wa maandiko ya kale (Injili), naye akamweleza Muhammad kuwa kile alichokiona ni Malaika Jibril aliyemjia kama alivyomjia Musa (a.s.). Nawaqal alikuwepo wakati wa Musa? Alijuaje na Musa ameelezea wapi alikabwa?
Chanzo cha simulizi:
Simulizi hii inapatikana katika:
Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Mwanzo wa Wahyi (Kitab Bad’ul-Wahy)
Sahih Muslim
Vitabu vya sirah (wasifu wa Mtume) kama vile Sirat Ibn Hisham.
Makobaz ktk ubora wao💩Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya kiislam ya Shia nchini, mpendwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge akiongoza watanzania kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali (AS).
Aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Msikilize hapo Chini kwa Makini hakika utabadilika kiimani.
View attachment 3428244