Kiapo cha utii Kwa Imam Hussain (AS) - Sheikh Hemed Jalala

Jagina mimi naomba kwa niaba ya wenzangu nikupe hongera kwa kuwa na muda mwingi kiasi hiki wa kupoteza maana magazeti unayoshusha humu mtu kuyasoma ale ashibe.
 
Jagina mimi naomba kwa niaba ya wenzangu nikupe hongera kwa kuwa na muda mwingi kiasi hiki wa kupoteza maana magazeti unayoshusha humu mtu kuyasoma ale ashibe.
Mwenye kumwogopa mungu na kutafuta ukweli atasoma , mtu asiyejali atapita tu , halazimishwi mtu
 
Mwenye kumwogopa mungu na kutafuta ukweli atasoma , mtu asiyejali atapita tu , halazimishwi mtu
Kitendo tu cha kuwa na imani huyo tayari ameshamuogopa Mungu haijalishi yupo dini gani as for me naamini Mungu Hana muda wa kupoteza na dini ni sisi tu uwendawazimu wetu kumtilia Mungu habari za dini.
 

Sheria ambazo zipo katika nchi za “Kikristo” za Magharibi—sheria zinazohusu kuzaliwa na kufa, kuanzishwa na kuvunjwa kwa ndoa, haki juu ya mali ndani na nje ya ndoa au katika tukio la talaka au kifo, uasili na ulezi, biashara, na viwanda—hazipatikani katika injili.

Hazijafunuliwa kwa mwanadamu na Mungu.

Ni matokeo ya maarifa ya kukokotoa (deductive knowledge).

Ama zimerithiwa kutoka katika mfumo wa sheria wa Kirumi, au zinatokana na mazoea ya watu kwa kipindi kirefu cha muda, au ni sheria zilizotungwa na kurekebishwa kulingana na mbinu ya kidemokrasia, ambayo ni urithi kutoka kwa Wayunani wa kale.

Hakuna mtu yeyote katika mahakama za leo anayeweza kurejelea injili kama mamlaka ya kisheria inayofunga katika makubaliano yake na mtu mwingine, na akakubalika.


(Muhammad Ataur-Raheem, Jesus Prophet of Islam, toleo la 1992, uk. 205)


Yesu alisema kwamba wafuasi wake wa kweli wataingia Peponi, wale wanaofuata mafundisho yake.


Ndipo Yesu akawaambia Wayahudi waliomwamini, “Kama mkikaa katika neno langu, basi kweli mmekuwa wanafunzi wangu.”
(Yohana 8:31)


Lakini ninyi hamuamini, kwa sababu ninyi si wa kundi langu, kama nilivyowaambia.
Kundi langu huisikia sauti yangu, nami nawajua, nao hunifuata. Nami huwapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewatoa mikononi mwangu.

(Yohana 10:26-29)


Na kila asikiaye maneno haya yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga. Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma na kuipiga nyumba ile; ikaanguka, na anguko lake likawa kubwa.
(Mathayo 7:26-27)


Upumbavu wa moja kwa moja wa Wakristo hauwezi kupingwa—Yesu aliwakemea wale wanaojiita “Wakristo” wa leo kwa ujasiri.


“Bali kwa ubatili huniheshimu, wakifundisha mafundisho ya watu kuwa amri za Mungu.”
(Mathayo 15:9)


“Na kwa nini kuniita, Bwana, Bwana, wala hamtendi hayo nisemayo?”
(Luka 6:46)


“Mimi sipokei sifa kutoka kwa wanadamu.”
(Yohana 5:41)
 

Tafsir ya Ibn Kathir – chini ya Surah At-Tahrim:

“Mtume alikutana na Maria nyumbani kwa Hafsa, siku ya zamu ya Hafsa. Hafsa alikasirika sana. Mtume alimuahidi kwamba hatarudia jambo hilo, akaliweka kuwa ni siri, lakini Hafsa alimwambia Aisha...”
 
ila Mashia ndio waislamu pekee wanajua hata mijadala kwanza wamesoma sana

Hawa answar Sunna ni mihemko na elimu Dunia ni ZERO
Sasa wangekuwa wamesoma na hawana mihemko wangekuwa wanajiumiza vile kwa kujichana chana....!!?
 
Ni jambo jema sana Waislam wa Shia kuongezeka nchini. Hawa ni watu wenye kuzingatia elimu na maarifa ya ahera na dunia.

Allah awabariki sana Waislam wa Shia na Kipenzi chetu Imaam Hussein aliyeuawa akipigania dini ya haki ya Mwenyezi Mungu Allah. Tena ampe Tawfiq kama anavyotuelimisha Busu la Kenge

Takbeeeer....Hussein Akbaaaar
 
Kuna muda mashia wanakuwa kama wehu hivi ama vichaa kabisa katika imani....ingwa siwatoi katika mila!😅
 
Ana wake wangapi halafu tuendelee
Labaika ya Hussein...
 
Sunni walimuua Imam Hussein.
Waislamu wa Sunni watu wabaya sana
 
Labaika ya Hussain

adriz Mufti kuku The Infinity Jagina
 

Muhamad alikopi Biblia na Hakuna Uislamu bila Biblia ndo Maana Waislamu ili wajiaminishe kwa watu hutumia Biblia. Sababu Quran ni Utapeli na Ulaghai.

ALLAH NA MUHAMMAD WAMEMKOPIA MTUME PAULO​





1. Quran imegezea Biblia kwa asilimia kubwa.
2. Allah hakuteremsha Wahyi kwa Muhammad.
3. Mtume Paulo ni akbar
Huu ni msiba Mkubwa sana.
Ila Biblia ni kitabu cha vitabu ambacho hakija copy wala hakitoi rejea ya vitabu, bali inajisimamia yenyewe.
UTHIBITISHO:
Quran
Imebeba taarifa zilizo katika Biblia. Mfano
Habari za Yusufu ambaye Biblia inamwongelea miaka 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul Yusufu)
Habari za familia ya Imran baba yao Musa, Haruni na Miriam, ambayo biblia inawaongelea miaka 3000 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul imran)
Habari za Yona mwana wa Mittai(Yunus bin Matta), ktk quran ipo sura yake nzima.
Ibrahimu baba wa imani, ambaye biblia inamwongelea miaka zaidi ya 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura inayoitwa sulatul Ibrahimu.
Bikira Maria, mama yake Yesu, ktk quran ipo sura yake inayoitwa sulatul Maryam
Habari za Elisha, Eliya, Daudi, Seleman, Haruni, Musa, Isaac, Yakobo, Ishamael, Enock, Lutu, Nimrod, Yethro, Zakaria, Yohana mbatizaji na Bwana Yesu Kristo.
Wote hao visa vyao vinapatikana katika Quran ingawa havina habari za kina juu yao km ilivyo ktk Biblia.
Waislam wanasema na kudai kuwa habari hizo muhamad alipewa wahyi(ufunuo) ila quran inabainisha kuwa alisimuliwa, maana huwezi pewa ufunuo kwa hbr zilizo bayana.

Quran inasema hivi....
Quran 4:164 Tuliwapelekea wahyi mitume tuliokuhadithia hbr zao zamani na mitume ambao hatukukuhadithia hbr zao na mwenyezi Mungu alimsemeza Musa.
Quran 40:78 Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengine ktk wao tumekusimulia(majina yao na hbr zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yeyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya mwenyezi Mungu.

Waliopewa wahyi ni mitume kabla ya muhamad, na hbr zao muhamad alisimuliwa na si wahy. Na kuna wengine Muhamad hakusimuliwa hbr zao, na ili uzipate sharti ufanye rejea ya biblia. Manabii km Daniel, Ezekiel, Yeremia, Mika, Samweli, Hosea, Ahiya, Malach, Debora, na wengine wengiii waislam hawawajui....sababu mtume wao hakusimuliwa habari zao.
Rejea katika Quran

(154) Al-An'aam
Tena tulimpa Musa Kitabu kwa kumtimizia (neema) aliye fanya wema, na kuwa ni maelezo ya kila kitu, na uwongofu na rehema, ili wapate kuamini mkutano wao na Mola wao Mlezi. 155 Na hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa. Basi kifuateni, na mchenimngu, ili mrehemewe.

Waislam wameambiwa warejee katika torati ili wapate rehema maana torati imebarikiwa.
(136) An-Nisaa
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

Kwaiyo waislam wanaopinga vitabu vya awali tayari wameshapotelea mbali.
(46) Al-Maaida
Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu.

injili ni nuru na uwongofu na mawaidha kwa wamchao Mungu, kwaiyo ukiikataa wewe huna nuru, wongofu wala haumchi Mungu.

onyo#
(156) Al-An'aam
Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.
Sharti waislam wasome Biblia, bila hivo watakuwa katika khasara.
Zipo aya nyingi zenye rejea za Biblia, ila leo tutaishia hapa.
Hoja kwa waislam
Baadhi mnadai biblia ni kitabu cha Paulo, kama ni kitabu cha Paulo mnatuaminisha na kutangaza ya kwamba Allah na Muhammad walimkopi Paulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…