Kiapo cha utii Kwa Imam Hussain (AS) - Sheikh Hemed Jalala



Paulo anamtukana Mungu​


Kwa maana upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima ya mwanadamu, na udhaifu wa Mungu ni zaidi ya nguvu za mwanadamu.
(1 Wakorintho 1:25)


Mambo ya Walawi 24:16

Yeye yeyote atakayematusi jina la BWANA atakufa kwa mauti.


Yesu alisema...​


Lakini nawaambia, mtu yeyote anayekasirika kwa ndugu yake atakuwa hatarini kwa hukumu. Pia, mtu yeyote asemaye kwa ndugu yake, ‘Raka,’ atajibu mbele ya Sanhedrini. Na yule asemaye, ‘Wewe mjinga!’ atakuwa hatarini kwa moto wa kuzimu.
(Mathayo 5:22)


Paulo alisema...​


"Wewe mjinga, kile unachopanda hakichangamki, isipokuwa kikife."
(1 Wakorintho 15:36)


Paulo aliamini Yesu aliinuka wafu kama roho, si mwili wa kawaida​


Hupandwa mwili wa kawaida, hupandwa mwili wa roho. Ikiwa kuna mwili wa kawaida, pia kuna mwili wa roho.
(1 Wakorintho 15:44)


Nawaambia, ndugu zangu, nyama na damu haviwezi kurithi ufalme wa Mungu, wala kile kinachokufa hakiwezi kurithi kile kisichokufa.
(1 Wakorintho 15:50)


Kweli ni kwamba Yesu aliinuka mbinguni akiwa na mwili wa kawaida.
(Luka 24:51)




Paulo alipinga hadithi za Eliya na Elisa kuamsha wafu​


Alipinga hadithi za Eliya na Elisa kuamsha wafu kurudi katika hali yao ya awali.
(2 Wafalme 17:20-23)


Pia alipinga Manabii. Hii inaonyesha aliiona Agano la Kale kama limeharibika kwa sababu hadithi za uongo zipo ndani yake.

Paulo anapinga Mungu, Yesu na Manabii wengine​


Anapinga Mungu, Yesu, Manabii wengine, na anapingana na Barnaba na Petro kwa sababu walifundisha haya:


  • Yesu si Mungu
  • Hakukufa msalabani

Ushauri wa Paulo kuhusu mvinyo na maji​


"Msinywe maji tena, bali tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako na maradhi yako ya mara kwa mara."
(1 Timotheo 5:23)




Paulo alisema​


Waroma 12:14
"Waleteeni baraka wanaowakandamiza; mkabariki, wala msilaani."


Lakini pia alisema:


Matendo 23:3
"Mungu atakuangamiza, ukuta uliofunikwa kwa mchanga."




Yesu alisema ujumbe wake ni kwa Wayahudi tu​


Yesu alisema ameletwa kwa ajili ya Israeli tu (Mathayo 10:5; 15:24) na wokovu ni kwa Wayahudi (Yohana 4:22).


Lakini Paulo alisema ujumbe wa Yesu ni kwa Wagiriki pia.
(Matendo 13:47, 18:6, 28:28; Waroma 15:16; Waefeso 3:8; Matendo 20:21; 26:17-18, 20, 23; 22:21; Waroma 1:5, 13; 3:29; 11:11-13, 15:9; Wagalatia 2:2, 7-9, 3:14; Waefeso 3:6; 1 Timotheo 2:7, 3:16; 2 Timotheo 4:17)




Paulo alisema​


"Kwa maana sisi sote lazima tujitokeze mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo..."
(2 Wakorintho 5:10)


Yesu alisema:
"Nyinyi hukumu kwa mujibu wa mwili; mimi sikuhukumu mtu yeyote."
(Yohana 8:15)


"...nani amenifanya mimi kuwa hakimu na mgawanyaji juu yenu?"
(Luka 12:14)


"...sikuja kuhukumu dunia, bali kuokoa dunia."
(Yohana 12:47; 8:50)




Mafundisho ya Paulo yanapingana na mafundisho ya mitume​


Kwa kuwa anafundisha mambo ambayo Yesu hakufundisha, ushahidi huu unatosha kutukwamua Paulo kabisa.




Je, kuwa na nywele ndefu ni jambo la aibu?​


"Hata maumbile haya hayawezi kuwafundisha kwamba, ikiwa mtu ana nywele ndefu, ni aibu kwake?"
(1 Wakorintho 11:14)


Vito vyote vya watu wa Kikristo vinavyofanya vya Yesu, kinyume na amri za Mungu, vina Yesu akiwa na nywele ndefu ndani yao.
 

MUHAMMAD AKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA NA HAJUI ATAFANYWA NINI BAADA YA KIFO​



Surat Al Ah'qaaf 9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Jamani leo tumepata ushaidi kutoka Muhammad kuwa Yeye sisi chochote na Uislam sio mali kitu.
Poleni sana wafuasi wa mtume kiroja kama alivyo dai mwenyewe na kukiri kuwa yeye hajui atafanywa nini baada ya kifo. Kumbe ndio maana kasema kwenye hadith hapa chini kuwa madheheb yote yataingia Motoni. Kumbe Muhammad ataingia Motoni. Kumbe Waislam wataingia Motoni.

"Wamegawanyika Mayahudi katika mapote 71, wakagawanyika Wakristo katika mapote 72 na Ummah wangu utagawanyika mapote 73. Yote hayo yataingia motoni.......)) [Ahmad, Abu Daawuud, atTirmidhiy na ad-Daarimiy]
Kama ushahid unavyo sema hapo juu kuwa Madhehebu yote yataingia Motoni, sasa, ni dhehebu lipi hilo ambalo halita ingia motoni?
 
Ma Answar sunni ndio Waislam halisi sasa

Achana na Mashia na Maswallafi

Hawa Mashia wanamthamini Imam Hussein kuliko hata Mtume Muhammad (S.A.W)
Sio kweli,huo ni uzushi mnawazushia
 
Sasa wangekuwa wamesoma na hawana mihemko wangekuwa wanajiumiza vile kwa kujichana chana....!!?
Sio wote shia wanafanya vile ,

Mbona hujiulizi kwenye sunni ,Hawa wahabi wanavyojilipua
 
Mkuu anasaidia Sana kwasababu alipigana na kuuwawa dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu kwenye jamii ambayo haya mambo yanasababisha umaskini.

Si umeona sasa? Kwa iyo usiwe mgumu kula kiapo faster.
Ila wewe jamaa uko humble sana unapokuwa unatoa ujumbe kwenye hayo masuala yako ya dini

Kuna kipindi uliingiza ban̈diko la dini kwenye uzi uliokuwa unajadili mambo tofauti kabisa, nikakujia juu ila wewe ukabaki mpole na kuishia kucheka.
 
Sio wote shia wanafanya vile ,

Mbona hujiulizi kwenye sunni ,Hawa wahabi wanavyojilipua
Sasa mzee ile ni Jihad kitu ambacho kilikuwepo enzi za Mtume Muhammad....

Kwahyo unataka kusema nao shia ile ni jihad...!!? Au uzwazwa,shia ni shia na ukafiri wao unawafunika wote
 
Sasa mzee ile ni Jihad kitu ambacho kilikuwepo enzi za Mtume Muhammad....

Kwahyo unataka kusema nao shia ile ni jihad...!!? Au uzwazwa,shia ni shia na ukafiri wao unawafunika wote
Kujilipua na kujitoa muhanga unaona sawa kabisa,ila shia wanaojikatakata Tena sio madhehebu yote unawaona wamepotea 😂

Dini ni UTAPELI aisee
 
Sheikh Jalala
 
Huyu jamaa hua anawaapreciate sana walioupigania uislamu ila yeye hajawahi sema anaupigania vipi uislamu wake.
 

Haro hilo hunya machizi tu wanaopenda kujiita maxi shimba
 
Kujilipua na kujitoa muhanga unaona sawa kabisa,ila shia wanaojikatakata Tena sio madhehebu yote unawaona wamepotea 😂

Dini ni UTAPELI aisee
Sasa mkuu mbna urusi na Ukraine wanajilipua....uko Israel na Palestine hvyohvyo, au unafikiri wanajilipua bila sababu....

Afu usiwe unakula ugali usiku...
 
Sasa mkuu mbna urusi na Ukraine wanajilipua....uko Israel na Palestine hvyohvyo, au unafikiri wanajilipua bila sababu....

Afu usiwe unakula ugali usiku...
Wanajilipua kujitoa muhanga kwa jina la Mungu ?kama wafanyavyo waislamu wa sunni kwa mrengo wa kupata mabikira 72?
 




View: https://youtube.com/shorts/kqTD__PCIys?si=beSyQvYZLXI019eD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…