mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 29
Tumeshuhudia mara zote Rais kabla ya kuanza kazi lazima aapishwe,mawaziri,wakuu wa mikoa makatibu wakuu na viongozi wengine wakiwemo wanasheria.Sasa mimi ninashangaa kwanini wakivunja kiapo wasishitakiwe kwa kukiuka kiapo,au akina maana, kwakuwa hata Baraza la mawaziri linalo tegemewa kuvunjwa kati ya kitu wakicho vunja ni kiapo. walicho apa wakati wanapata uwazili.