Kiapo laana hatari zaidi

Kiapo laana hatari zaidi

Siziruki soma mwanzo wa post hii utaelewa....haya mengine umeyaleta wewe kwahiyo yaweke wazi, tusitegane ila sijawahi kuona ubatizo wa kibubububu popote pale kama una ithibati zozote ziweke hapa kwa manufaa ya wote

Ok, ninajua kuwa ubatizo wa sasa ni magumashi na una element za kishetani. Haulengi kumweka mtu huru kama inavyodaiwa kwenye biblia, bali unalenga kumfanya mtu mteja wa kudumu wa wezi wa makanisani, ndio maana makanisa yenye akili nyingi huufanya utotoni, kisha wakauambatanisha na jina, kinyume na kilichokuwa kinafanyika bibliani.

Sasa kuja na kusema kuwa ni kiapo sijui ni uzushi, kwanza mtoto mdogo anaapaje?
 
At least sasa tunaenda Sawa ila Mimi sijawalenga watoto kuna point naona unaimiss hapa Mimi naongelea viapo laana yaani viapo vya kulaanii
 
I am a Catholic. I normally respond to this kind of topics. As a way of summing up different opinions by different people I would like to say the following.

1. I wish all Tanzanians would study Philosophy. In this discipline we study different subjects such as logic, theodicy, metaphysics, epistemology, psychology, anthropology, ethics and others. These subjects would answer all the questions of this kind.

2. God does NOT and will never curse any human being. God or an Infinite Being is LOVE. St Paul in his song of love says...Love does not miss anything. St.John in the Gospel writes God is Love. God is Perfect and knows no imperfection.

3. Oaths just like prayers are beneficial only to men and not God. Whether you pray or not, have religion or without it does not add anything to God. If God decides that today you return to your maker it will be so regardless of your prayer. So, why then do we pray? We pray so that the WILL of God should be realized, the will that we human being do not know. Jesus himself cried, father it is better that this cup passes away but not as I wish but your will be done.

4. What seems to torment people is not the oaths but the fear which have been impersonated in them either by their religious leaders or the community.

One day, we had a moslem guest at Kisarawe. We prepared a cow meat. An hour after we finished our lunch we cheated our moslem guest that what you have eaten is really a pork meat. Can you guess what happened!!!! He vomited instantly.... in fact he didnt eat pork but because of his beliefs which harbours in his subconscious he vomited.

Just a contribution
 
Vipi kile kiapo cha wanasiasa kama mawaziri,mabalozi,wakuu wa mikoa wanaapa tena wanashika misaafu halafu wanakwenda kinyume na maapizo inakuaje ?.

Mkuu hakuna kitu kibaya km KIAPO km ungekuwa msikilizaji wa Mahubiri ya MWAKASEGE ungeelewa Unapoapa unaifunga NAFSI yako
 
2. God does NOT and will never curse any human being. God or an Infinite Being is LOVE. St Paul in his song of love says...Love does not miss anything. St.John in the Gospel writes God is Love. God is Perfect and knows no imperfection.
Sure as hell he/she cursed Cain, and promised to curse whoever curses Israel, and that includes me!

3. Oaths just like prayers are beneficial only to men and not God. Whether you pray or not, have religion or without it does not add anything to God. If God decides that today you return to your maker it will be so regardless of your prayer. So, why then do we pray? We pray so that the WILL of God should be realized, the will that we human being do not know. Jesus himself cried, father it is better that this cup passes away but not as I wish but your will be done.
One among Wafalmes wa Israel was granted an extended life for he appealed to God that he has been loyal and faithful, cant cite who for sure, but nigga did!
4. What seems to torment people is not the oaths but the fear which have been impersonated in them either by their religious leaders or the community.
Bilbe is based on fear, hasa kile kipande cha mwisho kinachosema ole wako ukipunguza neno...
One day, we had a moslem guest at Kisarawe. We prepared a cow meat. An hour after we finished our lunch we cheated our moslem guest that what you have eaten is really a pork meat. Can you guess what happened!!!! He vomited instantly.... in fact he didnt eat pork but because of his beliefs which harbours in his subconscious he vomited.

Just a contribution
Hata wewe ungeambiwa umekula kinyesi ungetapika, yes, Moslems feels vibaya kuhusu kitimoto... Ni haki yao!
 
Ni kiapo cha damu na maji, hii ni kwasababu vyote viwili vina uhai na katika kukutanika kwao huumba roho isiyokufa na yenye madhara makubwa kutokana na kiapo au manuizi husika.

Kuna hivi viapo vya kuchoma moto maandishi ya damu, hivi humtesa mtu kwa muda tuu lakini baadae hufa na kupoteza nguvu kabisa lakini pia vikiwa vimeshaacha madhara makubwa tuu, chukulia mfano moto unavyoteketeza mali au uhai.

Kiapo kingine cha manuizi ni kile cha njiapanda, cha kuandika manuizi yako na kwenda kuyatupa au kuyazika njiapanda, hapa yatakanyagwa na kila aina ya watu kutoka pande zote, hiki hufanya Kazi mbaya sana kipindi cha uhai wake, mlaaniwa huteseka hasa na hafanyi lolote atafanikiwa mpaka ile katarasi na vitu vyake vioze vyote na kuharibika kabisa.

Lakini kiapo laana cha maji ni kitu kinachoishi milele, na husambaa mbali kwakuwa robotatu ya dunia ni maji na robotatu ya mwili wa binadamu ni. Maji pia na vyote vina uhai.

cc:blogmaster

Kiapo kingine cha laana ni cha kushika Biblia na kuapa
 
..siamini kama naweza kulaaniwa na mwanadamu yeyote yule..we mleta mada utakua mpagani.
no more,no less!
 
Ni kiapo cha damu na maji, hii ni kwasababu vyote viwili vina uhai na katika kukutanika kwao huumba roho isiyokufa na yenye madhara makubwa kutokana na kiapo au manuizi husika.

Kuna hivi viapo vya kuchoma moto maandishi ya damu, hivi humtesa mtu kwa muda tuu lakini baadae hufa na kupoteza nguvu kabisa lakini pia vikiwa vimeshaacha madhara makubwa tuu, chukulia mfano moto unavyoteketeza mali au uhai.

Kiapo kingine cha manuizi ni kile cha njiapanda, cha kuandika manuizi yako na kwenda kuyatupa au kuyazika njiapanda, hapa yatakanyagwa na kila aina ya watu kutoka pande zote, hiki hufanya Kazi mbaya sana kipindi cha uhai wake, mlaaniwa huteseka hasa na hafanyi lolote atafanikiwa mpaka ile katarasi na vitu vyake vioze vyote na kuharibika kabisa.

Lakini kiapo laana cha maji ni kitu kinachoishi milele, na husambaa mbali kwakuwa robotatu ya dunia ni maji na robotatu ya mwili wa binadamu ni. Maji pia na vyote vina uhai.

cc:blogmaster
.

Nakuhakikishia hivyo vitu vyote vya kishirikina havifui dafu mbele ya Jina lipitalo majina yote, Jina la Yesu Kristo.
Mtu akitubu na akaomba kwa Jina la Yesu Kristo, vyote vina nyo'onyea na kusambaratika.
 
mshana jr hii tiba yake ni nini? Au utaimaliza vp hayo manuizi.

Kuna utaratibu maalum ambapo inabidi kuzihusisha pande zote mbili, kuongea kusuluhisha, kusameheana na kutengua viapo na laana zote
 
Last edited by a moderator:
.

Nakuhakikishia hivyo vitu vyote vya kishirikina havifui dafu mbele ya Jina lipitalo majina yote, Jina la Yesu Kristo.
Mtu akitubu na akaomba kwa Jina la Yesu Kristo, vyote vina nyo'onyea na kusambaratika.

Ni sahihi kabisa lakini pale tu unapolitumia kwa usahihi na ukamilifu wake... Kinyume chake ni kuzidi kupotea na kujitafutia mabalaa zaidi hasa pale unapowategemea mitume na manabii wa Kileo... Halafu huku Ukichanganya Mungu na nguvu za giza
 
Mkuu akuhakikishia kuwa Jina la Yesu, kama unavyokiri lina nguvu kubwa sana.
Nami limenitoa katika sehemu mbaya ambazo kwa uwezo wangu tu nisingeweza kupona au kuwa slama.
Nakubaliana kabisa kuwa Jina la Yesu HALICHANGANYWI kabisa na nguvu za kishirikina , au hawa "mnbii" wa sasa ambao wantumia nguvu zisizoeleweka.
 
Uko sahihi kabisa lakini kuna wale matomaso wakipita huku watakuona kama chizi fulani hivi lakini ukweli ni kwamba Mungu atabaki kuwa Mungu
 
Ni kweli Jina la Yesu lina mamlaka ya kuondoa uchawi na laana zote. Lakini sio kila mtu anayelitamka ana nguvu za kiroho za kulitumia likafanya kazi inavyotakiwa
 
Sah

Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom