Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Siziruki soma mwanzo wa post hii utaelewa....haya mengine umeyaleta wewe kwahiyo yaweke wazi, tusitegane ila sijawahi kuona ubatizo wa kibubububu popote pale kama una ithibati zozote ziweke hapa kwa manufaa ya wote
Ok, ninajua kuwa ubatizo wa sasa ni magumashi na una element za kishetani. Haulengi kumweka mtu huru kama inavyodaiwa kwenye biblia, bali unalenga kumfanya mtu mteja wa kudumu wa wezi wa makanisani, ndio maana makanisa yenye akili nyingi huufanya utotoni, kisha wakauambatanisha na jina, kinyume na kilichokuwa kinafanyika bibliani.
Sasa kuja na kusema kuwa ni kiapo sijui ni uzushi, kwanza mtoto mdogo anaapaje?