Kiarabu kilikuwa lugha ya Taifa

Kiarabu kilikuwa lugha ya Taifa

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
Zenj
Tanganyika
Magadisio
Dar Es Salaam
Tanga
Mombasa
Mozambique
Tabora
Kilwa
Sofala
Mafia

Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili.

Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...

Waarabu walipoondoka (walipopoteza himaya) na ustaarabu waliondoka nao kama kweli walikuwa nao. Angalia maeneo yote yaliyokuwa dominated na waarabu - Kilwa, Bagamoyo, Pangani, Tanga - kuna nini la ziada mbali na maghofu. Kama domo domo, kubweteka na uvivu ni ustaarabu basi nakuunga mkono Waswahili ni wastaarabu.

ZenjTanganyikaMagadisioDar Es SalaamTangaMombasaMozambiqueTaboraKilwaSofalaMafiaMpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili. Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...
ustaarabu upi unao uongelea? Wa kuto chimba vyoo?

Kati ya wazungu ,wa asia na waarabu bora waarabu mara mia ,nadhani ni wenzetu kiasi kikubwa

Lugha ya taifa lipi? Halafu iweje leo kiarabu kisizungumzwe kwa kiwango kikubwa kwenye maeneo hayo? Na iweje kiswahili kiwe kimetokana na kiarabu iwapo kina maneno ya kibantu mengi kuliko ya kiarabu?

QUOTE=zomba;2279377]Zenj

Tanganyika

Magadisio

Dar Es Salaam

Tanga

Mombasa

Mozambique

Tabora

Kilwa

Sofala

Mafia

Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili.

Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...[/QUOTE]

nyie mkibishana hivo mtakesha hapa, wafkiri why ukienda ugenini unakua lonely?? Kila mtu kazoea mazingira na ustaraabu wa kwao so kila mtu atapendelea kwao

Zenj
Tanganyika
Magadisio
Dar Es Salaam
Tanga
Mombasa
Mozambique
Tabora
Kilwa
Sofala
Mafia

Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya taifa? Hakuna ubishi, ni kiarabu kilichozaa kiswahili.

Waswahili ni wastaarabu kuliko wasio waswahili kwa hapa kwetu...

Ustaarabu maana yake ni nini?

Back
Top Bottom