Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
 
Mimi sio mtazamaji wa TV w mara Kwa mara.Imetokea Leo nipo mapumziko.kidogo.Katika kutaguta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel,( nafikiri ni Kituo Cha Taifa)
Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi ,kulikuwa na maelezo ( nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu! Nikajiuoizà hii imeanza lini?
Au Ndio paradigm shift to Middle East!u
Mimi sio mtazamaji wa TV w mara Kwa mara.Imetokea Leo nipo mapumziko.kidogo.Katika kutaguta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel,( nafikiri ni Kituo Cha Taifa)
Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi ,kulikuwa na maelezo ( nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu! Nikajiuoizà hii imeanza lini?
Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Upo sahh , ila ondoa shaka hayo ni maandishi tu , huwa wanatumia ili kupanua wigo wa hiyo chanel kutizamwa huko duniani , french, español, English zoote zinatumika. Bila shaka ulikuwa unatizama zabibu za dodoma co?
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Hii nchi inaandaliwa kuwa ya kidini. Usisahau maneno ya Yule Mzee wa Chadema kibaraka wa CCM
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Ulijuwaje kuwa ni Kiarabu?
 
Hapo ni poa sana. Walichelewa wapi? Watangaze kwa lugha zote kuu za umoja wa mataifa kama kiingereza, kiarabu, kifaransa, kiispania, kichina etc na zingine zisizo. Tunataka pesa za utalii kwa ajili ya maendeleo. Tumechoka kukumbatia kiswahili ambacho nacho coverage yake ni limited
 
Back
Top Bottom