Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Prince wa Saudi Arabia alifia hotelini Kilimanjaro hotel alikuwa anakuja Bongo kila mwaka na anamwaga dola za kutosha.Waarabu na utalii wapi na wapi? Wao utalii wao ni kuhiji
Utalii wa Waarabu ni wa uwindaji ndio wanapenda zaidi kuna image umeijenga mpaka uone makanzu na vilemba ndio ujuwe kwamba hawa ni Waarabu.