Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

Waarabu na utalii wapi na wapi? Wao utalii wao ni kuhiji
Prince wa Saudi Arabia alifia hotelini Kilimanjaro hotel alikuwa anakuja Bongo kila mwaka na anamwaga dola za kutosha.

Utalii wa Waarabu ni wa uwindaji ndio wanapenda zaidi kuna image umeijenga mpaka uone makanzu na vilemba ndio ujuwe kwamba hawa ni Waarabu.
 
 
Mimi pia Nilistaajabika sana kuona hii kitu.. Na nilitamani hadi kuanzia uzi humu.
 

kuna na Qatar airways, fly Dubai, Etihad airways
 
ni wadau wakubwa wa kununua hao wanyama au unataka nini
 

Huelewi kuwa hata hilo neno "safari" ni la Kiarabu?

Miaka mingi kabla ya kuanza safari channel, kuna Mwarabu mmoja ndiyo alikuja na wazo la luutangaza utalii kwa njia ya TV,.

Alianza kwa kuweka screen kubwa pale clock tower Arusha. Tena ni member hapa JF, abaitwa Alioki, muulize Pascal Mayalla anamfahamu sana Alioki.
 
Ungekuwa mfuatiliaji mzuri ungegundua Kifaransa, Kichina, Kireno na Lugha nyingine nyingi tu huwa zinatumika kwenye baadhi ya vipindi.

Unless una tatizo na Waarabu.
Yaa hawawez kujificha hao hawajua kiarabu ni lugha tena among top 5 of UN language lakini yy maandishi tu keshaanza kubweka anaona ni msikitini pale
 
Reactions: Tui
Basi na ile muvi ya loyo tuwa angeenda kuivumbulia saudia ili tujue moja basi,yaani wazenji wanapenda waarabu sana😁😁😁🤔🤔🤔 amalize mda wake bhana
Kwa hiyo kinachokukera wewe ni nini haswa?
Wazenji kupenda Waarabu?

Au una kingine unashindwa kukitamka?
 
Reactions: Tui
Nunua bundle. Hizo channel za ajabu ajabu utazitazama siku ya game ya simba tu
 
Subtittle za kiarabu zipo baadhi ya vipindi safari usibishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…