Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

Unamtaja Mungu lakini hujathibitisha yupo.

Hujaondoa contradictions hizo za kwenye Quran nilizokuwekea.
 
Na bado wakatawaliwa na wazungu
 
Inajulikana kuwa ndivyo mnavyo danganywa, kudanganywa kwenu hakufanyi ukweli kubadilika, ukweli ulio wazi ni kuwa Waajemi, Wamedi, Babeli ya kale, Misri ya kale nk walikuwa na miungu yao waliyo iabudu tofauti na dini zeti za sasa
 
Na bado wakatawaliwa na wazungu
Ni vitu vinakwenda na kurudi.Wazungu wametawala nchi za kiislamu hata miaka 150 haijafika.Waislamu walitawala wazungu kwa karne zaidi ya 6.Ndio maana elimu kutoka kwa waislamu iliingia kisawasawa kote Ulaya.
Kama huna taarifa waislamu wa Mali na Niger na kaskazini ya Afrika kwa ujumla kabla ya mipaka ya wazungu waliitawala Ulaya karibu yote kwa karne kadhaa.
Timbuktu ndio maana ina hazina kubwa sana ya elimu japo wazungu wanaiharibu.Mahesabu makubwa ambayo yanasomeshwa vyio vikuu sasa yameanzia Mali.Ukiona wale watawala wa sasa wa Afrika magharibi wanajiamini sana kwa wazungu kama vile wafaransa ni kwamba wanarudia historia yao.
 
Inajulikana kuwa ndivyo mnavyo danganywa, kudanganywa kwenu hakufanyi ukweli kubadilika, ukweli ulio wazi ni kuwa Waajemi, Wamedi, Babeli ya kale, Misri ya kale nk walikuwa na miungu yao waliyo iabudu tofauti na dini zeti za sasa
Si nimekwambia kuwa kulikuwa na waislamu na wapotofu?.Kuwepo na watu waliokuwa wakiabudu miungu yao haijibu hoja kuwa kulikuwa na waislamu.
Hata sasa hivi tupo waislamu wengi na wachamungu na nyinyi mnaoabudu masanamu pia mupo hapa hapa na tunakula pamoja kwa fadhila za Mungu mpaka siku ya hukumu ifike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…