Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

I
Huwezi kupata jibu kihistoria kinyume na Uislamu.

Elimu ya sayansi ina mizizi katika lugha ya kigiriki. Anatomi, Fiziolojia na patholojia imesheheni lugha ya kigiriki.

Ndiyo maana shule za kimataifa hupendelea sana watoto kuielewa lugha ya kigiriki na kilatini ili huko mbele masomo yote kuanzia sheria, sayansi ya matibabu n.k ukiwa na msingi wa lugha za kigiriki na kilatini mambo yanakuwa siyo magumu sana

More info :

Is Greek helpful for medicine?

“This study provides novel scientific evidence that a basic understanding of Latin and Greek etymologies enhances performance and comfort when learning and using medical terminology.”

The Greek language has shaped and formed the lexicon of modern medicine, impacting the vocabulary of anatomy, physiology, and pathology.
 
Nje ya Quran, kiarabu hakina mchango wowote katika lugha za dunia. Hadi sasa lugha ambazo zimetawala dunia ni 2 tu; Kingereza na Kigiriki. Nitafafanua.
Wagiriki wamekua wagunduzi wa mambo mengi miaka hiyo ya zamani, unamumbuka Akimedesi? (JIna nimeandika kwa Kiswahili kabisa) mwamba alikua Mgiriki, Newton pamoja na kwamba alikua Mwingereza (alikua na damu ya Kiyahudi huyu jamaa kama walivo mmiliki wa Facebook nk) zile kanuni zake za mwendo aliziandika kwa Kigiriki, why? Ndio ilikua lugha ya sayansi ya wakati huo. Wasomaji wa maandiko hasa Biblia, agano la KALE lote liliandikwa kwa lugha ya Kiebrania why? Because walikua wanaandikowa Waebrania/Waisrael na agano jipya lote liliandikwa kwa lugha ya Kigiriki why? Ndio ilikua lugha ya kimataifa ya wakati huo. Nitataja baadhi ya maneno ya kwenye Biblia ambayo yalikosa tafsiri sahihi kwa lugha tofauti tofauti duniani todate hadi ikabidi lugha zingine zisitoke nje ya Kigiriki/Kiyunani. Neno Biblia, linatokana na neno BIBLOS Kwa Kigiriki/Kiyunani lenye maana ya "mkusanyiko wa vitabu" neno UBATIZO linatokana na neno BAPTIZO kwa Kigiriki/Kiyunani lenye maana ya "zamisha ndani yaa, or loweka ndani ya..." hiyo ya ilikua ndani ya kimiminika, maji or anything of that kind. Neno KRISTO lenye maana ya "mpakwa mafuta" kwa Kiebrania/Kiyahudi au Kiaramu ni masia. Kiaram sio kiarabu. Yehova nano ni neno la Kigiriki, Petro pia ni jina la Kigiriki lenye maana ya stones (tuliosoma kuanzia miaka ya 80 kurudi nyuma mtakumbuka shule ya msingi somo la Geography kuhusu aina za miamba, moja wapo was petrous. Lingine ni SABATO hili ilikua na maana ya PUMZIKO. Ukija kwenye madawa almost yote pamoja na mimea, majina ya Kisayansi yote huaga ni ya Kigiriki/Kiyunani. Katika historia sina kumbukumbu ya kumsikia Mwarabu aliwahi kufanya chochote remarkable. So mleta uzi umetupanga. I know utaleta story za Misri, hili nitalijibu vizuri endapo utaligusia
akina Newton ni watoto wa juzi kabisa ambao walisoma kutoka kwa walimu mababu waliosoma madrasa za Andalusia,
Kuhusu Archimedes wala usingemjua kama si juhudi za akina Haroun Alrashid ambaye aliokota kila alichokiona ni maandishi na hatimae kuletwa maktaba ya waislamu ya baitul hikma.Zaidi ya hapo kanuni yake ilirekebishwa sana na waislamu kabla ya kuisambaza.
Hali ni hiyo hiyo kwa maandiko ya biblia,Ni vitabu vilivyokuwa hatarini kupotea kama si juhudi za waislamu kuhuisha maandishi ya kale na bila uchoyo kuyasambaza.
Wanaofahamu lugha za kale na hizo za kiebrania walitafutwa na waislamu kwa makusudi ili wahuishe maandishi ya kale.
 
I

Elimu ya sayansi ina mizizi katika lugha ya kigiriki. Anatomi, Fiziolojia na patholojia imesheheni lugha ya kigiriki.

Ndiyo maana shule za kimataifa hupendelea sana watoto kuielewa lugha ya kigiriki na kilatini ili huko mbele masomo yote kuanzia sheria, sayansi ya matibabu n.k ukiwa na msingi wa lugha za kigiriki na kilatini mambo yanakuwa siyo magumu sana

More info :

Is Greek helpful for medicine?

“This study provides novel scientific evidence that a basic understanding of Latin and Greek etymologies enhances performance and comfort when learning and using medical terminology.”

The Greek language has shaped and formed the lexicon of modern medicine, impacting the vocabulary of anatomy, physiology, and pathology.
Bila uchoyo waislamu pale Baghdad na Spain hawakupuuza lugha za kale ikiwemo kigiriki.Lakini ilikuwa ni mwanzo tu kiarabu kilitumika sana kwenye kazi mpya ambazo zilikuwa zimeendelea zaidi kisayansi kuliko hizo lugha za kale,
Usahihisho wa fikra kwamba jua linalizunguka dunia au dunia ilalizunguka jua ambao ulikosewa na akina Plato ulifanywa kwa lugha ya kiarabu na kusambazwa usahihi wake.
Mpaka Marekani inajulikana mwaka 1456 sayari karibu zote zilikuwa zimeshaorodheswa na waislamu kwa majina yake kama vile Zuhra,Mushtariy na kadhalika.
 
Hoja za kijanja janja tu hizo.Imani inaingia kila kona ya maisha yetu.
Na usipokuwa na imani utasoma historia ya uongo
"Usipokuwa na Imani utasoma historia ya uongo" Not true... Ukiisoma historia as ilivyo utaanza kuwa huru na UTAELEWA kwamba Kuna vitu vitu tumepigwa kwa maslahi Yao.
 
Webabu acha kutukuza uarabu, wape credit zao wasomi wa kale. Unasema hivi "MAANDISHI " hayakuwa katika mfumo vitabu vya kisasa, yalipapikana katika tawala za "KIRUMI,KIGIRIKI na KIHINDI" Kwa maana waarabu walitafsiri maandishi hayo ya wagiriki wa kale. Swali sasa huyo muarabu bila ivyo vitabu angetafsiri makalio? Hivi ushajiuliza kuwa kipindi hicho sehemu zingine dunian kama Afrika? leo kuna lugha nyingi duniani tu biblia zimetafsiriwa katika mamia ya lugha. kuna watanzania leo hii wanajua kichina, kijapan nk. kwahiyo nikitaka kujua kichina inanirazimu kwanza kupata maandishi ya kichina yatafsiriwe kiarabu then ndio kiswahili?
 
Write your reply...kuna watu hata useme nini hawawezi kukuelewa mtoa mada kisa kimehusishwa kiarabu hata ukisema maria mama wa yesu ni mwanamke kwa mujibu wa kiarabu watasema ni uongo maria ni mwanaume kwa mujibu wa kingereza kwa mtoa mada waache wajinga wainjoi ujinga wao.
 
Nje ya Quran, kiarabu hakina mchango wowote katika lugha za dunia. Hadi sasa lugha ambazo zimetawala dunia ni 2 tu; Kingereza na Kigiriki. Nitafafanua.
Wagiriki wamekua wagunduzi wa mambo mengi miaka hiyo ya zamani, unamumbuka Akimedesi? (JIna nimeandika kwa Kiswahili kabisa) mwamba alikua Mgiriki, Newton pamoja na kwamba alikua Mwingereza (alikua na damu ya Kiyahudi huyu jamaa kama walivo mmiliki wa Facebook nk) zile kanuni zake za mwendo aliziandika kwa Kigiriki, why? Ndio ilikua lugha ya sayansi ya wakati huo. Wasomaji wa maandiko hasa Biblia, agano la KALE lote liliandikwa kwa lugha ya Kiebrania why? Because walikua wanaandikowa Waebrania/Waisrael na agano jipya lote liliandikwa kwa lugha ya Kigiriki why? Ndio ilikua lugha ya kimataifa ya wakati huo. Nitataja baadhi ya maneno ya kwenye Biblia ambayo yalikosa tafsiri sahihi kwa lugha tofauti tofauti duniani todate hadi ikabidi lugha zingine zisitoke nje ya Kigiriki/Kiyunani. Neno Biblia, linatokana na neno BIBLOS Kwa Kigiriki/Kiyunani lenye maana ya "mkusanyiko wa vitabu" neno UBATIZO linatokana na neno BAPTIZO kwa Kigiriki/Kiyunani lenye maana ya "zamisha ndani yaa, or loweka ndani ya..." hiyo ya ilikua ndani ya kimiminika, maji or anything of that kind. Neno KRISTO lenye maana ya "mpakwa mafuta" kwa Kiebrania/Kiyahudi au Kiaramu ni masia. Kiaram sio kiarabu. Yehova nano ni neno la Kigiriki, Petro pia ni jina la Kigiriki lenye maana ya stones (tuliosoma kuanzia miaka ya 80 kurudi nyuma mtakumbuka shule ya msingi somo la Geography kuhusu aina za miamba, moja wapo was petrous. Lingine ni SABATO hili ilikua na maana ya PUMZIKO. Ukija kwenye madawa almost yote pamoja na mimea, majina ya Kisayansi yote huaga ni ya Kigiriki/Kiyunani. Katika historia sina kumbukumbu ya kumsikia Mwarabu aliwahi kufanya chochote remarkable. So mleta uzi umetupanga. I know utaleta story za Misri, hili nitalijibu vizuri endapo utaligusia

Shukrani kwa ku-share elimu hii ya ufahamu kuhusu mchango wa lugha ya kigiriki ktk sayansi
 
Webabu acha kutukuza uarabu, wape credit zao wasomi wa kale. Unasema hivi "MAANDISHI " hayakuwa katika mfumo vitabu vya kisasa, yalipapikana katika tawala za "KIRUMI,KIGIRIKI na KIHINDI" Kwa maana waarabu walitafsiri maandishi hayo ya wagiriki wa kale. Swali sasa huyo muarabu bila ivyo vitabu angetafsiri makalio? Hivi ushajiuliza kuwa kipindi hicho sehemu zingine dunian kama Afrika? leo kuna lugha nyingi duniani tu biblia zimetafsiriwa katika mamia ya lugha. kuna watanzania leo hii wanajua kichina, kijapan nk. kwahiyo nikitaka kujua kichina inanirazimu kwanza kupata maandishi ya kichina yatafsiriwe kiarabu then ndio kiswahili?
Haikuwa vitabu vya kurasa kama hizi za A4 au B5.ilikuwa yako kwenye vitambaa au magome na ngozi za wanyama na yalikuwa yameandikwa vizuri tu.Sijui kwanini unapinga.
Walikuta vifaa na zana ambazo hawakuzijua ni za nini na wakazibeba na kuzifanyia kazi kwa kuuliza wajuzi.Huu ndio uadilifu wa kielimu sio kama wale wakristo waliokwenda kuchoma mota maktaba kubwa ya dunia.
 
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.

Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa Qur'an imetoa fursa za wazi kwa walimwengu dunia nzima na kuwapa ujanja wa kuishi na kuifaidi dunia.

Kwa ufupi kabisa ufunguzi wa ulimwengu kielimu ulianzia Baghdad wakati wa utawala wa bani Umayya na baadae utawala wa Abbasiya chini ya utawala wa Haroun Alrashid.

Tawala hizo ndizo zilijenga maktaba kubwa sana iliyoitwa baitul Hikma ambayo ilidumu kwa karne nyingi kabla kubomolewa katika vita kutoka watawala wa kikristo waliopitia bara hindi.

Chanzo cha maktaba hiyo ilikuwa ni wakuu wa koo za kiarabu waliopenda kuhifadhi Qur'an na hadithi za mtume Muhammad saw pamoja na mashairi mazuri ya koo zao.

Mara maktaba hiyo ikaanza kuweka vitabu vyengine vilivyopatikana katika tawala ambako majeshi ya waislamu yalikuwa yakienda wakati wa vita na kutoka misafara ya kawaida ya kibiashara.

Maandishi hayo hayakuwa katika mfumo wa vitabu vya kisasa yalipatikana kutoka tawala za kirumi,kigiriki na kihindi.Maandishi hayo yailetwa hapo na kutafsiriwa kuingizwa lugha ya kiarabu.

Maktaba hiyo kila miaka ilivyoongezeka ikapanuliwa na kuongezwa vitengo vya matawi mbali mbali ya kielimu ukiongezea na kitengo cha uchapishaji.

Hatimae teknolojia ya uchapishaji na uandishi kwa njia nyepesi uliochukuliwa kutoka mbali kama vile China ukaingizwa kwenye maktaba hiyo na kuongeza kasi za uandishi na tafsiri.

Vitengo vilivyonawiri zaidi katika kituo hicho ni vile vya elimu ya tiba,elimu ya anga na hesabati chini ya mwanahesabati Alkhwarizm ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha aljebra alichokiandika katika kutafsrii mahesabu yaliyomo ndani ya Qur'an juu ya mirathi.

Umaarufu wa maktaba hiyo ambao uligeuka kuwa kama chuo cha elimu uliwavuta watu wengi sana kutoka maeneo ya jirani ikiwemo Iran na majimbo ya Urusi kuja kujisomea au kwa kazi maalumu. Kulikuwa na wafanyakazi wa kila fani na kutoka maeneo mbali mbali.Walikuwepo waliokuwa na asili za kiyahudi na makabila mengineyo ya jirani.

Kituo hicho kilipobomolewa na kuchomwa moto,mto wa dijla ambao unajulikana sasa kama euphrates uligeuka rangi kuwa mweusi kutokana na wino wa vitabu hivyo.

Wakatokea baadhi ya wasomi na waliokuwa wafanyakazi wa kituo hicho wakachagua baadhi ya nakala walizoweza kuziokoa na kwenda nazo maeneo yao.Miongoni mwa hao ni Nasrudin Al tulsi wa Azerbajan ambaye alikwishajenga kituo chake cha anga huko kwao.Yeye alifanikiwa kuokoa vitabu zaidi ya 40,000 ambavyo alikuwa akivibeba kidogo kidogo kwa kutumia farasi na ngamia.

Pamoja na kupigwa vita,waislamu nao kwa fitna walikuwa na ugomvi baina yao wenyewe.Wako walionusurika vifo na kuamua kukimbilia maeneo ya mbali ambako tayari athari za tawala za kiislamu zilikwishatangulia.
Maeneo hayo ni kama vile kaskazini ya Afrika,Libya,Tunisia,Aljeria na Morocco mbali na maeneo ya ndani ya kama vile MalimChad na Niger.

Kwa upande wa Ulaya ya sasa waislamu walikwishatangulia Spain zamani. Mmoja ya waliofanikiwa kuhama na kuendeleza mfano wa tawala za Baghdad ni Abulrahmaan ambaye alikwenda kufanya makazi yake Cordoba chini ya himaya ya Ummawiyah. Miji mingi sana ndani ya Spain iliyojulikana wakati huo kama Andalus ilijengwa kwa nidhamu za tawala za kiislamu ambapo lazima kuwe na maktaba.Miji michache kati ya hiyo ni Granada,Sevile na Toledo.

Kwa mfano papa Sylvester (Gerbet) ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo kusoma kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha Granada na aliwahi kuhudhuria mafunzo chuo kikuu kikongwe zaidi duniani cha Alqarawiney ambacho kiko Fez nchini Morroco ambacho bado kinaendeshwa kwa mfumo ule ule maarufu kama madrasa.

Papa Syvester ambaye alivutiwa sana na utamaduni wa waislamu na elimu zao alipenda sana somo la hisabati na ndiye wa mwanzo kuingiza elimu hiyo nchini Italy wakati wa utawala wake ambapo mwenyewe alikuwa ni mwalimu pia pamoja na kazi za upapa (1095).

Maktaba ya Toledo ndiyo maarufu zaidi kwani hapo ndipo makabila mengi ya Ulaya kuanzia Ureno, Ufaransa,Italy na kote kwengineko walisoma na kutafsiri kazi hizo kutoka lugha ya kiarabu na kuingiza kwenye lugha zao za asili. Katika maktaba hiyo pia walikuwepo wafasiri walioweza kuingiza elimu hizo kwenye lugha ya kiyahudi ya kiebrania.

Ikumbukwe wakati ulimwengu wa kiisalamu ukiwa unairithisha dunia elimu kwa lugha zao kutoka kiarabu lugha maarufu za sasa kama vile kiiengereza na kifaransa hazikuwepo au ndio muda zilikuwa zinazaliwa na kuanza kujulikana.

Vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kutumika kwenye vyuo vikuu vingi vya ulaya walivyojenga wenyewe ni vingi sana.Ngoja tutaje baadhi tu ya vitabu hivyo.

1. AL HAW. Ni kitabu cha tiba kiliandikwa na Abubakr Al Razi (864 -935)AD.Kinajumuisha vitabu vidogo (volumes) 23.Kilitafsiriwa kuingizwa lugha ya kilatin na myahudi aitwaye Faraj ben Salim kutoka visiwa vya Sicily mnamo mwakka 1276.

2. AL QANON FIY TTIB cha tiba kwa kiiengereza kinajulikana kama The canon of medicines. Kiliandikwa na Ibn Sina (980 -1037)AD.Kitabu hicho kimetumika kama rejea kubwa kwenye vyuo vikuu vya Ulaya mpaka mwaka 1650.Kilikuwa kikitoa ufafanuzi wa tiba na madawa kwa kutumia michoro kufahamisha vizuri.

3. KITAB AL TASIF cha Abul Qassim (936-1013)AD.Ni mkusanyiko wa vitabu vidogo 30.Abulcasis ndiye mvumbuzi wa vifaa zaidi ya 200 vinavyotumika mpaka leo kwenye vyumba vya upasuaji na vitabu vyake vimetumika kufundishia Ulaya kwa zaidi ya miaka 500.Aliishi na kufia mjini Cordoba ndani ya Spain.Nyumba yake mpaka leo ipo na imepewa thamani ya juu katika utalii wa majengo.

4.AL KITAB AL MUKHTASAR FIY HISAB ALJABR WAL MUQABALA.Kiliandikwa na Muhammad bin Mussa Alkharizm (780-850).Alikuwa ni mmoja ya wafanyakazi mashuhuri wa kitengo cha kutafsiri maandishi kwenye jengo la Baitul Hikma na baadae akawa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho.

Pamoja na kazi nyingi alizozifanya alisoma na kutafsiri maandishi ya Euclid, mwanafalsa wa zamani wa kigiriki.Hata hivyo maandishi na hesabu zake za Aljebra ambazo ndizo zilizozalisha ujanja wote wa hesabu duniani haujaonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na michoro ya maumbile ya Euclid.

Nakala halisi ya kitabu cha Alkhwarizm katika hati zake za kiarabu kinapatikana kwenye maktaba ya chuo kikuu cha Oxford nchini Uiengereza.
Kila mtu ana akili kabla hajazumza
 
Hata kwenye hii attachment naona ni kama inathibitisha kuwa ndiye muanzilishi na ndio mwanzo wa jina aljebra
Na ndiye muanzilishi wa mpangilio wa nambari unaoitwa algorithm ambao ndio chanzo cha kuundwa kwa kompyuta.
Aliipanga wakati akichambua mfumo wa kuhesabu wa kihindi.Uadilifu na muongozo wa Allah ndio huo.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • IMG_7031.jpeg
    IMG_7031.jpeg
    753.1 KB · Views: 7
Ndiomana netanyahu anawawaisha kwenye mifereji ya pombe na bikira 72 sasa kiarabu ni lugha ya kimatibabu wakati TANGU ADAM NA HAWA WAARABU HAWAJAWAHI KUTENGENEZA DAWA YA MAFUA BORA UNGENIAMBIA wachina

Jee umesoma hiyo taarifa hapo juu.
Ulaya kwa miaka 500 wamesoma vitabu vya waislamu kwa lugha ya kiarabu na kujitibia kwa madawa waliyojifunza humo.Wewe unapinga wakati wa Ulaya wenyewe wamekubali.
 
Back
Top Bottom