Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

I
Huwezi kupata jibu kihistoria kinyume na Uislamu.

Elimu ya sayansi ina mizizi katika lugha ya kigiriki. Anatomi, Fiziolojia na patholojia imesheheni lugha ya kigiriki.

Ndiyo maana shule za kimataifa hupendelea sana watoto kuielewa lugha ya kigiriki na kilatini ili huko mbele masomo yote kuanzia sheria, sayansi ya matibabu n.k ukiwa na msingi wa lugha za kigiriki na kilatini mambo yanakuwa siyo magumu sana

More info :

Is Greek helpful for medicine?


“This study provides novel scientific evidence that a basic understanding of Latin and Greek etymologies enhances performance and comfort when learning and using medical terminology.”

The Greek language has shaped and formed the lexicon of modern medicine, impacting the vocabulary of anatomy, physiology, and pathology.
 
akina Newton ni watoto wa juzi kabisa ambao walisoma kutoka kwa walimu mababu waliosoma madrasa za Andalusia,
Kuhusu Archimedes wala usingemjua kama si juhudi za akina Haroun Alrashid ambaye aliokota kila alichokiona ni maandishi na hatimae kuletwa maktaba ya waislamu ya baitul hikma.Zaidi ya hapo kanuni yake ilirekebishwa sana na waislamu kabla ya kuisambaza.
Hali ni hiyo hiyo kwa maandiko ya biblia,Ni vitabu vilivyokuwa hatarini kupotea kama si juhudi za waislamu kuhuisha maandishi ya kale na bila uchoyo kuyasambaza.
Wanaofahamu lugha za kale na hizo za kiebrania walitafutwa na waislamu kwa makusudi ili wahuishe maandishi ya kale.
 
Bila uchoyo waislamu pale Baghdad na Spain hawakupuuza lugha za kale ikiwemo kigiriki.Lakini ilikuwa ni mwanzo tu kiarabu kilitumika sana kwenye kazi mpya ambazo zilikuwa zimeendelea zaidi kisayansi kuliko hizo lugha za kale,
Usahihisho wa fikra kwamba jua linalizunguka dunia au dunia ilalizunguka jua ambao ulikosewa na akina Plato ulifanywa kwa lugha ya kiarabu na kusambazwa usahihi wake.
Mpaka Marekani inajulikana mwaka 1456 sayari karibu zote zilikuwa zimeshaorodheswa na waislamu kwa majina yake kama vile Zuhra,Mushtariy na kadhalika.
 
Hoja za kijanja janja tu hizo.Imani inaingia kila kona ya maisha yetu.
Na usipokuwa na imani utasoma historia ya uongo
"Usipokuwa na Imani utasoma historia ya uongo" Not true... Ukiisoma historia as ilivyo utaanza kuwa huru na UTAELEWA kwamba Kuna vitu vitu tumepigwa kwa maslahi Yao.
 
Webabu acha kutukuza uarabu, wape credit zao wasomi wa kale. Unasema hivi "MAANDISHI " hayakuwa katika mfumo vitabu vya kisasa, yalipapikana katika tawala za "KIRUMI,KIGIRIKI na KIHINDI" Kwa maana waarabu walitafsiri maandishi hayo ya wagiriki wa kale. Swali sasa huyo muarabu bila ivyo vitabu angetafsiri makalio? Hivi ushajiuliza kuwa kipindi hicho sehemu zingine dunian kama Afrika? leo kuna lugha nyingi duniani tu biblia zimetafsiriwa katika mamia ya lugha. kuna watanzania leo hii wanajua kichina, kijapan nk. kwahiyo nikitaka kujua kichina inanirazimu kwanza kupata maandishi ya kichina yatafsiriwe kiarabu then ndio kiswahili?
 
Write your reply...kuna watu hata useme nini hawawezi kukuelewa mtoa mada kisa kimehusishwa kiarabu hata ukisema maria mama wa yesu ni mwanamke kwa mujibu wa kiarabu watasema ni uongo maria ni mwanaume kwa mujibu wa kingereza kwa mtoa mada waache wajinga wainjoi ujinga wao.
 

Shukrani kwa ku-share elimu hii ya ufahamu kuhusu mchango wa lugha ya kigiriki ktk sayansi
 
Haikuwa vitabu vya kurasa kama hizi za A4 au B5.ilikuwa yako kwenye vitambaa au magome na ngozi za wanyama na yalikuwa yameandikwa vizuri tu.Sijui kwanini unapinga.
Walikuta vifaa na zana ambazo hawakuzijua ni za nini na wakazibeba na kuzifanyia kazi kwa kuuliza wajuzi.Huu ndio uadilifu wa kielimu sio kama wale wakristo waliokwenda kuchoma mota maktaba kubwa ya dunia.
 
Kila mtu ana akili kabla hajazumza
 
Hata kwenye hii attachment naona ni kama inathibitisha kuwa ndiye muanzilishi na ndio mwanzo wa jina aljebra
Na ndiye muanzilishi wa mpangilio wa nambari unaoitwa algorithm ambao ndio chanzo cha kuundwa kwa kompyuta.
Aliipanga wakati akichambua mfumo wa kuhesabu wa kihindi.Uadilifu na muongozo wa Allah ndio huo.
 
🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_7031.jpeg
    753.1 KB · Views: 7
Ndiomana netanyahu anawawaisha kwenye mifereji ya pombe na bikira 72 sasa kiarabu ni lugha ya kimatibabu wakati TANGU ADAM NA HAWA WAARABU HAWAJAWAHI KUTENGENEZA DAWA YA MAFUA BORA UNGENIAMBIA wachina
 
Ndiomana netanyahu anawawaisha kwenye mifereji ya pombe na bikira 72 sasa kiarabu ni lugha ya kimatibabu wakati TANGU ADAM NA HAWA WAARABU HAWAJAWAHI KUTENGENEZA DAWA YA MAFUA BORA UNGENIAMBIA wachina
Jee umesoma hiyo taarifa hapo juu.
Ulaya kwa miaka 500 wamesoma vitabu vya waislamu kwa lugha ya kiarabu na kujitibia kwa madawa waliyojifunza humo.Wewe unapinga wakati wa Ulaya wenyewe wamekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…