GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Chad, Algeria, Comoros, Eritrea, Djibouti, Egypt, Palestine, Lebanon, Iraq, Jordan, Kuwait, Mauritania, Morocco, Oman, Qatar, Somalia, Sudan, Syria, Tanzania, Bahrain, na Tunisia.
Makala tajwa yaliwekwa mtandaoni tarehe 22/06/2021, na Mwandishi wake ni Marwan Abdelaziz. Title: HOW MANY COUNTRIES SPEAK ARABIC AROUND THE WORLD?
Hayo ni kweli kuhusu Tanzania au mwandishi kaamua tu kutufagilia?