Kiarabu ni moja ya "lugha rasmi" nchini?

Kiarabu ni moja ya "lugha rasmi" nchini?

Huyo mwandishi atakuwa kagikia Upanga kwenye magorofa ya NHC kulikojazana wahindi na waarabu...
 
Hata waroma wa Tanzania na sehemu zingine duniani tofauti na vatcan na Italia hawatumii kiitaliano sembuse wakristo
Kiitaliano ndiyo lugha yataifa la Italy na inatumika katika mambo yote hata elimu mpaka vyuo vikuu. Jua kuwa Ulaya karibu kila nchi ina lugha yake rasmi. Kuna Kilatin ambacho hutumika ktk kanisa katoliki mahali pengi duniani kuendeshea shughuli za kanisa na sio kitaliano.
 
Hiyo ni tungo tata mkuu! Atarudi kumtawala nani? Watanganyika au Wazanzibar?
 
Ni kweli somo la Arabic watu wanasoma na kufanya mitihani tena shule za serikali kabisa.
 
Yawezekana ndo kinapenya taratibu, maana kunabaadhi ya documentary kwenye Tanzania Safari Channel (TBC) huwa zinasubtitle za kiarabu 😄😄😄
 
Tazama mwenendo wa uongozi tulio nao na ugawaji wa rasilimali kwa kisingizio cha uwekezaji na sheria mpya tata za ardhi
Sasa mbona kama ni Tanganyika ndiyo ipo hatarini?
 
Kiarabu kimekaa kushari shari,kujilipua lipua.Mtu anayezungumza kiarabu mara nyingi anakuwa na hasira,chuki,mbaguzi na mjinga mjinga.
Hayo yote niliyoyakoleza trangi ni maneno yanayotokana na Kiarabu.

Kiarabu kitamu sana, hakuna lugha pana na tamu kama Kiarabu, kwa anae fahamu.

Licha ya Kiuswahili, Kingereza chenyewe kina maneno mengi sana yanatokana na Kiarabu.

Niliwahi kuandika hivi, hapa hapa JF:

Niliwahi kuandika hivi:
 
Hapa hamtaelewana na FaizaFoxy
usiwe na fikra hasi, kuwa chanya.

Niliwahi kuandika hivi, hapa hapa JF:

 
Kiarabu ndiyo lugha ya kwanza rasmi katika ardhi hii, kabla hata haijabadilishwa jina na Wajerumani na kuitwa Tanganyika.

Nakushangaa unaekishangaa Kiarabu Tanzania hii.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom