Kiasi cha mbegu za kiume kuchevusha yai la mwanamke

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu,!

Naomba kuuliza kwa anayefahamu masuala ya uzazi, kwamba ni kiasi gani cha mbegu za kuime zinaweza kusababisha mimba?, nauli hivi kwa sababu girl friend wangu ameniambia ana mimba wakati nakumbuka siku tuliyofanya mapenzi nili with draw karibia round zote tatu na round ya nne nikamwagia ndani lakini mbegu zilikua kidogo sanaaaaa. Sasa je kwa uchache wa mbegu hizo nilizomwagia kweli zilisababisha mimba???

Natanguliza shukrani.
 
mbegu moja tuuu huweza kupelekea mwanamke kupata mimba....hyo n.yako...huenda ulchelewa kupiz nje moja tu ikawah
 
He he he angalia kalenda vizuri unakumbuka tarehe? Jipange asije kuwa kama dereva wa daladala kwa kuchomekea njiani
 
He he he angalia kalenda vizuri unakumbuka tarehe? Jipange asije kuwa kama dereva wa daladala kwa kuchomekea njiani

Alikua ndo katoka period, mimi ninavyojua kwamba bao la kwanza ndo linakuaga na nguvu kubwa kusababisha mimba sa la kwanza,pili na tatu yote nilipiga nje nina uhakika sema la nne ndo nkapiga ndani ambalo ni kidogo na weak, sa cjui ananipima au ananichezea mchezo wa daladala kama wadau walivosema.
 

Jomba mbegu 1 inatosha kumpa mimba mwanamke haijalishi ni bao la ngapi kama kila kitu nipo sawa hii inajumuisha mbegu kuwa na NGUVU ya kuogelea hadi kwenye yai, majimaji ya kuisaport hiyo kuogelea mbegu na yai lililopevuka mambo yanajipa tena fasta
 
Alikua ndo katoka period, .
ndio kamaliza siku zake?
huyo kakuchemsha
tafuta humuhumu JF hizo Mada zipo
au ingia Google utafafanuliwa zaidi
ninavyojua ni katikati ya mzunguko wake wa siku 28 (kati ya siku ya 10 hadi 17)
tusubiri wataalamu watakubandikia hilo bandiko km hutaenda kuiltafuta
 

Alitoka period kama wiki moja hivi nikimaanisha kwamba nilifanya nae mapenzi wiki moja baada ya siku zake.
 
Jomba mbegu 1 inatosha kumpa mimba mwanamke haijalishi ni bao la ngapi kama kila kitu nipo sawa hii inajumuisha mbegu kuwa na NGUVU ya kuogelea hadi kwenye yai, majimaji ya kuisaport hiyo kuogelea mbegu na yai lililopevuka mambo yanajipa tena fasta

Kwa kweli tangu nianze nae mapenzi tangu form 3 mpk leo nimemaliza nae form six hajawahi kuniambia ishu ya mimba ndo maana inanipa wasiwasi mkuu.
 
Du umeibiiwa ukimaliza period hesabu kuanzia siku ya nane hebu Google
 
Ndahi utapata jibu ila kwa usalama anzia siku ya 10

NAMNA YA KUTAMBUA MZUNGUKO WAKO.

Ili kutambua mzunguko wako ni wa siku ngapi unatakiwa kuhesabu kuanzia siku ya kwanza kuona damu ya hedhi hadi siku ya kwanza ya kuona damu ya hedhi ya mwezi unaofuata, kwa mfano ukiona damu ya hedhi tarehe 15 December basi hiyo ndio siku yako ya kwanza.

Kwa mtu mwenye mzunguko huo wa siku 28 siku zake za hatari za kuweza kushika mimba ni siku ya kumi na nne 14, hivyo kuanzia siku ya 12 hadi siku ya 16 kama atafanya ngono bila kinga anaweza kushika mimba.

Najua mtu anaweza akajiuliza kama siku ya hatari ni ya 14 sasa kwa nini akifanya ngono siku ya 12 anaweza akapata mimba?
Hii ni kwa sababu mbegu za kiume zina uwezo wa kudumu kwa masaa24 hadi 48 baada ya kujamiiana hivyo kama utafanya ngono tarehe 12 na yai likatoka tarehe14 bado litakuta zile mbegu zikiwa hai hivyo zitarutubishwa.
 

Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa kwamba atakua kweli ana mimba mkuu?
 
Yani hapo mkuu nijiandae tu maana mda huu huu amenipigia simu anatapika sasa dah. Itakua imenasa kabsa.

Nenda kapime kwanza ili uwe na uhakika isije ikawa anakutest ili aone utachukuliaje (mtazamo wangu )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…