Kiasi cha mchele kinachopendekezwa ukile

Haya mambo wazazi wa zamani waliyaweza sana ndio maana mlikuwa mnapewa kasinia na MKo Sita mpambane hapo ni ukiinama ukiinuka umekula hako ka nusu kikombe ndio maana hapakuwa na watoto wanene wanene SA siku hizi Junior ni anajipakulia kwenye hotpot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…