uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Haya mambo wazazi wa zamani waliyaweza sana ndio maana mlikuwa mnapewa kasinia na MKo Sita mpambane hapo ni ukiinama ukiinuka umekula hako ka nusu kikombe ndio maana hapakuwa na watoto wanene wanene SA siku hizi Junior ni anajipakulia kwenye hotpot