kwanza tujue unakopa sababu gani?
kwenye website ya Nmb kuna applet ya loan calculator, inakupa hesabu za kila kitu ( makato ya mwezi, kiwango cha juu cha mkopo n.k) ingia nmbbank.co.tzhabari wanajamvi,samahan nnataka kuchukua mkopo bank NMB ila take home yangu ni laki tano (500000)je naweza pata kiasi gani cha mkopo?na nkardisha kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingap?
naomba anayejua anipe mwongozo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanin usikope bank tofauti na hyo
kwenye website ya Nmb kuna applet ya loan calculator, inakupa hesabu za kila kitu ( makato ya mwezi, kiwango cha juu cha mkopo n.k) ingia nmbbank.co.tz