kiasi cha mkopo

kiasi cha mkopo

dafuzima

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
92
Reaction score
67
habari wanajamvi,samahan nnataka kuchukua mkopo bank NMB ila take home yangu ni laki tano (500000)je naweza pata kiasi gani cha mkopo?na nkardisha kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingap?

naomba anayejua anipe mwongozo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye website ya Nmb kuna applet ya loan calculator, inakupa hesabu za kila kitu ( makato ya mwezi, kiwango cha juu cha mkopo n.k) ingia nmbbank.co.tz
 
Back
Top Bottom