Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Mleta mada anasema kiasi kinachokopwa ni kingi hakiendani na kasi ya sababu za huko kukopa.Miradi almost yote ya JPM iliendeshwa kwa mikopo na mpaka anafariki miradi hiyo haikua imefika hata 50% Sasa kama JPM alikopa kuijenga unadhani hiyo 50% inayobakia itajengwaje kama sio kwa mikopo pia...
Sasa si aweke mchanganuo hapa why anaongozwa na assumptions!! Mfano JPM alijenga SGR kwa 30% ila Samia inabidi amalize hiyo 70% anunue mabehewa, aajiri wafanyakazi kwenye reli n.k Sasa alitaka atoe Hela wapi?Mleta mada anasema kiasi kinachokopwa ni kingi hakiendani na kasi ya sababu za huko kukopa.
Ukute na wewe una masters hapo ulipo!! Elewa swali kwanza kabla ya kujibuSasa si aweke mchanganuo hapa why anaongozwa na assumptions!! Mfano JPM alijenga SGR kwa 30% ila Samia inabidi amalize hiyo 70% anunue mabehewa, aajiri wafanyakazi kwenye reli n.k Sasa alitaka atoe Hela wapi?
Hapo Bado BRT, mradi wa Maji ya ziwa Victoria, Bado upanuzi wa Kinyerezi 2, Bado Bwawa la Nyerere n.k so atueleze yeye Sasa kwa numbers ni kiasi gani kimezidi mahitaji
[emoji3][emoji3]Ukute na wewe una masters hapo ulipo!! Elewa swali kwanza kabla ya kujibu
Sasa si aweke mchanganuo hapa why anaongozwa na assumptions!! Mfano JPM alijenga SGR kwa 30% ila Samia inabidi amalize hiyo 70% anunue mabehewa, aajiri wafanyakazi kwenye reli n.k Sasa alitaka atoe Hela wapi?
Hapo Bado BRT, mradi wa Maji ya ziwa Victoria, Bado upanuzi wa Kinyerezi 2, Bado Bwawa la Nyerere n.k so atueleze yeye Sasa kwa numbers ni kiasi gani kimezidi mahitaji
Yeye ndio anapinga huo mchanganuo Sasa kama anapinga aweke mchanganuo hapa anaodai hauendani na miradi inayofanyika.hesabu ziko wazi.
weka mezani rukhsa.
Yeye kasema haoni mradi unao reflect hizo pesa ndio nauliza SGR inajengwa kwa pesa zipi?Ukute na wewe una masters hapo ulipo!! Elewa swali kwanza kabla ya kujibu