Kiasi cha shahawa zangu kimeongezeka. Je, kuna tatizo?

Kiasi cha shahawa zangu kimeongezeka. Je, kuna tatizo?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari wadau

Nimekuja mbele yenu wazoefu ama mliowahi kupitia hali hii. Ni kwamba kwa sasa kiwanda kinatema bidhaa yake ya upwilo kwa kiwango kilichozidi kwa asilimia kama 30 za ziada.

Binafsi ninapokaribia mara nyingi huwa naumwaga upwilo kwenye kanga spesho ila kwa saizi imekuwa too much, kanga inatapakaa huu upwilo utadhani ni mtu kaipengea makamasi mengi.

Sasa ninauliza hii imekaaje labda. Kwa sasa nina miaka 30.
 
mkeo anasemaje juu ya hilo
 
Wanawake wanatupenda sana,wanatuazima hadi khanga zao tuzichafue.Mungu awarehemu siku zote za uhai wao.
 
Back
Top Bottom