Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani.
Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini
Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe, nikitarajia labda MC atatangaza mtu kupotelewa na pochi lakini hola
Nimerudi nayo nyumbani, asubuhi hii ndiyo nimeifungua. Ni USD tupu!