Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Huu upuuzi ndiyo maana Kuna mtu alisema usipostBila picha , hii ni chai
Zimewekewa kafara hizo kwa mtu atakayeziokota ,kama miaka ile ya tisini enzi za Mbaruku tolu.Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani.
Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini
Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe, nikitarajia labda MC atatangaza mtu kupotelewa na pochi lakini hola
Nimerudi nayo nyumbani, asubuhi hii ndiyo nimeifungua. Ni USD tupu!
NGUMU SN HYOBinadamu wote tuna kitu kinaitwa 'curiosity' Hali ya kutaka kujua kitu Fulani kwa muda Huo, ntakua wa mwisho kuamini kua uliweza kufika nayo nyumbani ukaiweka mahali bila kuifungua mpaka asubuhi
Unadhani ukiposti picha ya madolari tutayakwiba?π€£π€£π€£Huu upuuzi ndiyo maana Kuna mtu alisema usipost
Hebu acha utani.Kabla hajaziokota alishazipangia bajeti kabisa.Zakwangu tafadhali ππ
Kwa nini hukumwambia MC atangaze kama ulikua na nia nzuri?Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani.